Bora mmalizane humo humo pm , jukwaani mikausho mikali , ukijianika tu kuna miamba inakuona goigoi πEnzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sana
Binafsi nilijua chitchat,kumbe niliyemtaja ana mingle zako nyingi jukwaani na PM
Ur missedpole sana dogoπ
πππEnzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sana
Binafsi nilijua chitchat,kumbe niliyemtaja ana mingle zako nyingi jukwaani na PM
Hahahaaha!!!!!!!! Asante kwa kutambua uwepo wa mnywaji mwenza.Mimi na wanangu wa bia kina
Seran
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Dr am 4 real PhD
Vishu Mtata
leo dada
Castle_Lite
tukiwa kwenye vibe letu ni π₯ tuπ€£
Ni hatari sana kama unam-crush mtu kimahaba halafu yeye ana mingle zake huko, kila ukiona wanabembelezana moyo unaenda paaaah!π€£π€£Enzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sana
Binafsi nilijua chitchat,kumbe niliyemtaja ana mingle zako nyingi jukwaani na PM
ur missed too ma mchu wanguπ, umepotea mno πͺUr missed
Hahahaha hiyo nilibanwa PM na jukwanii, mdada anakuambia futa unaharibu mie nakua utani,π€£ wakati huo mchizi Yuko jukwanii anakalia Koo kuwa niwe makiniBora mmalizane humo humo pm , jukwaani mikausho mikali , ukijianika tu kuna miamba inakuona goigoi π
Hahahaaa! π
Underground au sio, mangi wa motoooπ€£Bora mmalizane humo humo pm , jukwaani mikausho mikali , ukijianika tu kuna miamba inakuona goigoi π
πππNi hatari sana kama unam-crush mtu kimahaba halafu yeye ana mingle zake huko, kila ukiona wanabembelezana moyo unaenda paaaah!π€£π€£
Hahahaha mbaya sana,halafu jamaa yake anashtuka kuwa huyu mchizi anaingia anga zanguNi hatari sana kama unam-crush mtu kimahaba halafu yeye ana mingle zake huko, kila ukiona wanabembelezana moyo unaenda paaaah!π€£π€£
The Icebreaker , hapa V .A.R ina umuhimu wakeπ€
Hahahaaa! π
Twinnie naona hujataka hizo sifa ziende bure bure au kuelea elea hivyo ukaamua unichomekee. ππ
Eti ngoja nikusaidie kumtaja. Lol
umbea tuπππNitarudi kuchungulia hii comment π π
Kwa hiyo inawezekana watu wanachapiana sana mkuu?π€£Hahahaha mbaya sana,halafu jamaa yake anashtuka kuwa huyu mchizi anaingia anga zangu
The Icebreaker , hapa V .A.R ina umuhimu wakeπ€
Hahahaha, ndio maana nabaki kucheka tuπππ
Ulikutana na ambao wako serious
Usisahau nina no yako mkuuππ
my self ilaviyuu zaidi sijui hao wengineππMy crush π
Boys π
Marcostilone nimempa jina The Thinker π§
Mshana Jr my Dad β€οΈ
Tlaatlaah Gentleman π
huyu wale wa siasa nisameheni tu
yeye anajua zadiπ
ERoni babu kikao hakikosi wazeeπ€ͺ
Girls
π
binti kiziwi π§
Binti wa zamani ππ
win-one enjoyment π
Nawapenda guysβ€οΈ
Sasa hapo kwenye u crush ,unaye mtaja watu kumbe wanachapa,ugomvi huoKwa hiyo inawezekana watu wanachapiana sana mkuu?π€£
Sema mada ni crush, kuchapana ni step nyingine kidogo...