Uwiiii! Pacha nakugawa. π€£π€£Sifa alizotaja ni zako zote
Kamalizie kureact (π) kwenye comment yake tumalizane na hili π
Kuna ka harufu kwa ufujaji wa I'd hapoπ€Kajicrush kwa IDs zake zote sio? π
Wa story dear kuchangamsha jukwaaila ni ukorofi upi sweetππ
hapo sawa, si nikajua ni ule ukorofi wa ngumi πππWa story dear kuchangamsha jukwaa
π sawaWala na utu uzima huu ...sina energy hiyo labda mtu a-cross line....πππ
kunywa maji πUnaona sasaπ₯
Nimeshaumia mpaka hapa
Nikusaidie kumtag brazaπππNaona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya π₯° au π
Kuwa makini kila unayem-crush na kumtaja, usije kuumiza watu moyo!Sasa hapo kwenye u crush ,unaye mtaja watu kumbe wanachapa,ugomvi huo
Mule muleπ
Mpwa wangu, mapenzi tele kwako π«Ά
Mtaani kwanza pole,nasikia vijana walikuja kujisaidia jangwaniUwiiii! Pacha nakugawa. π€£π€£
Yale makontena tuliyo kuwa tunasema ni mapya , unaona ni mapya tena bwashee?Underground au sio, mangi wa motoooπ€£
Niacheeeeumbea tuπππ
Subiri msikie nimejinyonga.kunywa maji π
Serious? πMule muleπ
Nakupenda kabinti kangu kazuri π
Love you more babie πmy self ilaviyuu zaidi sijui hao wengineππ
ππKuna ka harufu kwa ufujaji wa I'd hapoπ€
Hapana we kapoleehapo sawa, si nikajua ni ule ukorofi wa ngumi πππ