Nitulize kiherehere Au Sio πMimi mwenye uzi sija crushiwa who are you broπ π π
hunaaaaaaπ π π πView attachment 3630323
Sijatajwa sina mtu wallah π₯²
Nimeku-crush mjukuu! Haiwezekani hadi mda huu hujapata crush na babu yupo!π€£Mimi mwenye uzi sija crushiwa who are you broπ π π
Ikati lekeende mbora mleuπ€£hahaha kweli aisee, aika mbee, nongenenga njia
Mgawe kwa secretarybird Dada utakuwa umefanya jambo la maana kwa maendeleo ya Taifa hiliUwiiii! Pacha nakugawa. π€£π€£
Washamtaja wadau tayarikusema utarudi kuchungulia kwenye comment ya watuπ
Acha basi sawa babu yangu mzuriπ€Sijasema mimi mjukuu, sina maΔ·andokando na sina mtu anayenicrush, wewe tu ndio umemcrush babuuπ€£
HahahahaNdio mjukuu, unaweza kumtaja mtu kumbe kuna mwenzako yupo pembeni anaona wivu hatari.π€£
Yes mwaka huo ulikuwa lakwanza Cπ€£π€£Kumbe na wewe ulijoin 2014
Sijaona ulongoooNimeku-crush mjukuu! Haiwezekani hadi mda huu hujapata crush na babu yupo!π€£
Form 1 BYes mwaka huo ulikuwa lakwanza C
Basi nakufungulia uzi kabisa mjukuuπͺSijaona ulongooo
Braza sikuoni Jf siku hizi ila kwenye uzi huu ghalfa umeibuka KuniSupprise , umetokea pembeni kama Mpanzu vileππNikusaidie kumtag brazaπππ
Lakwaza la miaka hiyo ni Sawa na form one ya siku hiziForm 1 B
Nifungulie babu yangu π€π€Basi nakufungulia uzi kabisa mjukuuπͺ
ni zamani bro siku hizi magadi yamechakachuliwa, hata hivyo inabidi nirudi home kwanza nikakate mbuzi sikio, haiwezekani miaka zaidi 12 hapa lakini hamna anae ni crash!Ikati lekeende mbora mleuπ€£