Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Nasoma kwanza makasiriko ya watu πŸ˜‚.
Ndipo ninapogundua kuwa watu wako vere siriasi na maisha πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hawanaga muda na utani hata kidogo.
Sijui Huwa wanatumia nini kupunguza makasiriko Yao.
Mimi ndio I don't care watajuana wenyewe huko 🀣🀣🀣🀣
 
mbalizi1 nakucrush sana esp ninapo soma replay zako za kudinyana😜,, yaan huwa una simulia kama vile unadinya kweli🀣🀣🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€Huwa napenda kuhadithia vile ili kuwasaidia mawazo baadhi ya vijana wasiokua na uelewa juu ya namna ya kuwaweka sawa wapenzi wao wawapo kunako sita kwa sita.

Of course hata mimi sikujua tu mwenyewe , nilibahatika kumpata mama mmoja alikuwa fundi sana hivyo nilifundishwa.

Ww huwa una maneno yako kwenye comments za nyuzi za vile, nikiyasoma uuuuhhhh.....damnnnnn!!πŸ˜€πŸ˜€

win-one ShesRise_1
 
Tlaatlaah hajui siasa bali ni chawa wa FISIEMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…