๐๐๐ซถ๐ซถmimi naku crushia pia sijui mwenzangu ๐
Ewaa swadakta kabisa,MkuuSi mchezo,tungoje kwanza vizazi vya mbele yetu wamalize kukrashiana then tuone sisi tunabaki na nani
Sana mjukuu๐คฃ๐คฃDah aiseeee issue ilikua deep
My all time crush Mtaalamu Wa Jukwaa La Tech
Asante bro mshirika kwenye uwanja wetu ule๐๐Kwa generation yenu nawacrushia wewe ShesRise_1 na win-one
SawaSana mjukuu๐คฃ๐คฃ
Jambo la kibaiolojia / kiuumbaji ๐Asante bro mshirika kwenye uwanja wetu ule๐๐
Daah! ๐๐Tukiwa tunachat PM hana noma ila humu jukwaani nikimwita babe ananiambia nijiheshimu, we dada mi nakuchana tu malipo hapa hapa ahera kuhesabiwa.
Mdaka chozi๐คฃ๐คฃUna msaidia kuchunga mali yake , wanaita mshika mapembe๐
are you a man or woman coz hapo kwa kweli umetisha and i will respect you kiongozi hata kama wewe ni mlokolenism na mimi ni mkonyaginism. Ila utani wangu nikutania usichukue serious sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ hawezi filisika yule aisee!๐๐๐
Atakuwa amefirisika
KweliMdaka chozi๐คฃ๐คฃ
Manare you a man or woman coz hapo kwa kweli umetisha and i will respect you kiongozi hata kama wewe ni mlokolenism na mimi ni mkonyaginism. Ila utani wangu nikutania usichukue serious sana
Mdaka chozi sio mbaya, wakati wowote jambo linatiki๐คฃKweli
Yote utani tu , ila kiuhalisia sidhaniMdaka chozi sio mbaya, wakati wowote jambo linatiki๐คฃ
poa chief na kama hujaoa ntakupa mdogo wangu lakini ana watoto 3 kila mtoto na babake
Yes nataka jina halisi jinsia na umri ili niweke kwenye rekodi zangu vzrAsante salamu nazipokea mtoa mada ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Et hujui jina lake ๐
Hahah atakuwa amepata vijana wa afumbili๐คฃ๐คฃ๐คฃ hawezi filisika yule aisee!