ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #481
Sawa ndio upige no nimekupaNipo serious nataka nikupige mimba.
Haya ngoja nibadilishe hiyo 9 niweke 6 au 7Yenyewe hiyo tulia
Karibu sana jamviniπ€π€π€π€π€
Hakuna namba kama hiyo.Sawa ndio upige no nimekupa
OkayHaya ngoja nibadilishe hiyo 9 niweke 6 au 7
Hiyo maana ya crush mkuu!Unataka nini kwani bro
SoreeeHakuna namba kama hiyo.
Ni mama kijacho tayari πMtaje bana hadi wewe muogaπ
Gori lako au la mtu mwingineπNi mama kijacho tayari π
Simjui mtu so kwangu ni kitu kisichowezekana ila mara nyingi napenda threads tofautiKaribu sana jamvini
Mada je kuna mtu una m crush
So sad π¬π§βπ¦―Gori lako au la mtu mwingineπ
Eh nani huyo, kumbe nna crush na cjuiKuna mtu ange ku crush ila huu uzi hatii mguuπ π
Okay karibu tenaSimjui mtu so kwangu ni kitu kisichowezekana ila mara nyingi napenda threads tofauti
Nasikitika pamoja naweSo sad π¬π§βπ¦―
Nimemsahau gafulaaaEh nani huyo, kumbe nna crush na cjui
Utapeli huo bana, em nitumie pm mana hy n habari njema kwangu πNimemsahau gafulaaa
Tulia kijanaπ€£π€£π€£Utapeli huo bana, em nitumie pm mana hy n habari njema kwangu π
Natulia πTulia kijanaπ€£π€£π€£
Safiii Good boyNatulia π