ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #521
Kama umeona umechelewa kuwaambia ungeuchuna tu mkuuVijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day π
ShenziiiBasi ngoja mie niendelee kufanya ma2si....π«£View attachment 3630484
Tunaishi mara moja tu mkuuVijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day π
Nikupeleke napita kila muda kuangalia reaction yako nakuta haipoπππ kumbe.
Hahahaaa. Haya bana.
OkayCrush asiwe wa kimapenzi! Ndio nasikia leo. π
Nyie ndo insecure men, in the mask of toxic masculinity. Kwani kama unampenda mtu ukamtaja kuna shida?Vijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day π
Uzi bado unatembea usijali utatajwa.Namaanisha kwamba toka 2014 nipo jf ila mpaka page ya 26 sijatajwa na mtu hata mmoja
Okay
Na wewe ni mkereketwa tu acha kutupanga.Vijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day π
πππ Eti unipeleke. Lol.Nikupeleke napita kila muda kuangalia reaction yako nakuta haipoπ
Siamini andika tena halafu ni tagπ€£π€£Kama ndio hivyo basi, crush wangu ni wewe. π
Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya π₯° au π
Mwachi Mwachi ulipotelea wapi rafiki yangu?
πππ Najua matokeo chanya ya hiyo reaction ππππ Eti unipeleke. Lol.
Ila we Selikavu hivyo umeamua uiquote kabisa. Daah. π
Siamini andika tena halafu ni tagπ€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Shenziii
Naona kama hujaona vile ππukiona lazima uwekeπUmeamua uiquote kabisa. Daah.
Nipo sema humu nachungulia mara chache kama hivi niki wakumbukaMwachi Mwachi ulipotelea wapi rafiki yangu?