secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nilikuwepo kwa ile ID imtukuzayo mungu kutwa. Nimegundua watu wengi wanahitaji sana huduma ya kiroho.Hahahaa. secretarybird mwenyewe sijui kakumbwa na nini huko aliko tangia tuesday mpaka leo hajaingia jf na sio kawaida yake ujue.
Au naye anamiliki Miaidi kede kede. 😃
Sawa na bureUnataka kula mbususu ikiwa kwenye bei ya sale au sio.....
Chai hii au kahawaNilikuwepo kwa ile ID imtukuzayo mungu kutwa. Nimegundua watu wengi wanahitaji sana huduma ya kiroho.
Mtaje kuchafuke. Olee wakoo
Mbona mkali diha🤣🤣Mtaje kuchafuke. Olee wakoo
Mwanangu mbona siku hizi hushushi nyuzi za mapishi?Sawa na bure
Unamkufuru roho mtakatifu, siyo?Chai hii au kahawa
hahaha mkeo genta yukowapi?Babu yako nakunywa tu mbege hapa maili sita.
Utaniambia nini?
Nilijua tu na ndio maana umekuja fasta kureply.Nilikuwepo kwa ile ID imtukuzayo mungu kutwa. Nimegundua watu wengi wanahitaji sana huduma ya kiroho.
hahaha mkeo genta yukowapi?
Asante sana.Nilijua tu na ndio maana umekuja fasta kureply.
Hongera sana Mkuu.
hahaha mtoto gani mzeeYuko kwenye likizo ya uzazi.
kumbafuuuUnamkufuru roho mtakatifu, siyo?
Wa kike.hahaha mtoto gani mzee
Ungejua kuwa unamtukana mtu ambaye kwenye kichwa chake mvi zimetamalaki basi ungejilaumu sana.kumbafuuu
Mvii zimetamalaki 🤣Ungejua kuwa unamtukana mtu ambaye kwenye kichwa chake mvi zimetamalaki basi ungejilaumu sana.