Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Hahahaaa! 🙈

Twinnie naona hujataka hizo sifa ziende bure bure au kuelea elea hivyo ukaamua unichomekee. 😂😂

Eti ngoja nikusaidie kumtaja. Lol
Halafu nilikuwa rafiki yangu wa nguvu kipindi nasoma form 5 & 6 anaitwa Joan , kila nikiona ID ya Joanah namkumbuka yeye 😂
 
Miaka ya nyuma nyuma kipindi nimejiunga tu Jf
Kuna mtu nilimcrush jamani and He knows
Ila akili hizi😂😂😂😂.
Kuna watu wana character nzuri hadi unatokea kuwapenda tu
Wadada
@waangari maathai
Na dada zangu wengine sina haja ya kuwataja,wananijua
Nawapenda sana,
Mungu awatunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…