SafiiiMiaka ya nyuma nyuma kipindi nimejiunga tu Jf
Kuna mtu nilimcrush jamani and He knows
Ila akili hiziππππ.
Kuna watu wana character nzuri hadi unatokea kuwapenda tu
Wadada
@waangari maathai
Na dada zangu wengine sina haja ya kuwataja,wananijua
Nawapenda sana,
Mungu awatunze.
MashaAllah π€The one and only kampelewele ,.
Big daddy mwenyewe ππ
Ndio vizuri sasaπ€£π€£Mashirima hana siri shindiiπ
π€£π€£π€£π€£ wangu au wako?Unajua mwenyewe ni kuhusu crush π€£π€£
Sasa hivi na machimbo mapya ,kwa matarimo masilayo na makavisheπ€£Ndio vizuri sasaπ€£π€£
Maana ukishalewa unajijua!
Mi ninao wengi si uliona mkeka ajabu ukajichagulia mmoja uka mng'ang'aniaπ€£π€£π€£π€£π€£ wangu au wako?
Umekunywa chaiπHuu uzi una dalili ya upinde. Ngoja nipite kama naaga maiti.
Tuanze na kwa masilayo kwanza, nina jambo languπ€£Sasa hivi na machimbo mapya ,kwa matarimo masilayo na makavisheπ€£
Kwanini shindiiπ€£Tuanze na kwa masilayo kwanza, nina jambo languπ€£
Mjukuu wewe kama mimi tu, unacrush akiliπ€£π€£π€£Mi ninao wengi si uliona mkeka ajabu ukajichagulia mmoja uka mng'ang'aniaπ€£
Kule huwa kuna wababaπ€£Kwanini shindiiπ€£
Sidhani πKule huwa kuna wababaπ€£
Shindii hupendi kabisa maendeleo yanguπββοΈπ€£Sidhani π
Na yapinga kwa wivu mkubwa sanaShindii hupendi kabisa maendeleo yanguπββοΈπ€£
Mbona mimi niliwaona?Na yapinga kwa wivu mkubwa sana
Shenziiii zako bibi π€£π€£Mjukuu wewe kama mimi tu, unacrush akiliπ€£π€£π€£
Hivyo huwezi nidanganya.