Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Vipi naye alikuwa mkorofi na mtundu ka huyu? πŸ˜‚πŸ˜‚

Joanah.
Alikuwa mkorofi haswa na mtu wa vibe sana na anapenda kujiweka Kistar na kuishi kama celebrity.

Kuna siku aliwahi kunicholoza kuniambia live eti sipo romantic, nikamwambia unataka niwe romantic kwako Mimi wewe kama nani na Mimi nimefuata masomo shuleni au unataka niwe romantic kwa kila mtu si utakuwa uchizi huo ? πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…