Nia yangu kwako ilikuwa more than that sema niliamua kuzimeza hisia zangu...No unaruhusiwa kutucrushia sote wawili 😅 Men are polygamous by necha ebo!
As a pisces woman, Leo men are my nightmare 😈😂 ndio maana lazima tukwaruzane, you people ego yenu iko mawinguni!Nia yangu kwako ilikuwa more than that sema niliamua kuzimeza hisia zangu...
Am a leo ♌ by nature so when I choose one ni huyo huyo.
And we love as heck yaani ukinikubalia jf nzima Itakujua tu queen..As a pisces woman, Leo men are my nightmare 😈😂 ndio maana lazima tukwaruzane, you people ego yenu iko mawinguni!
Aloooh! 🙌🏻
I have a story, I will definitely share it with you PM.And we love as heck yaani ukinikubalia jf nzima Itakujua tu queen..
Ila ukizingua sie hatunaga mbamba tunapiga kwenye mshono
Yes, I think tho tunakwaruzana but it is constructive, and we can be a good match unaonaje?
OK I will be glad to hear it.I have a story, I will definitely share it with you PM.
Yes kwenye kupenda hapo! 🙌🏻🥰
Mimi na binti kiziwi ni wasema ukweli 😂
Sasa usajiri wako utaakuwa ngumu saana.Hakunaaaaa
Yeah...Ngoja niache nisije kuharibu
Acha tu nisisajiriwe 😁Sasa usajiri wako utaakuwa ngumu saana.
Fanya mambo yawe mepesi
Kwamba elevenn ndo de gunner au macho yangu?And we love as heck yaani ukinikubalia jf nzima Itakujua tu queen..
Ila ukizingua sie hatunaga mbamba tunapiga kwenye mshono
Yes, I think tho tunakwaruzana but it is constructive, and we can be a good match unaonaje?
Binti mbona sielewi imekuaje tena jamani🤣🤣Kwamba elevenn ndo de gunner au macho yangu?
Aisee jf ukikaa vibaya kinakulamba
Mtu unamuheshimu vizuri tu kumbe kichaa!Binti mbona sielewi imekuaje tena jamani🤣🤣
Yule mtoto ni kichaa kweli kweli mwisho leo tulikosana kwenye uzi wangu 🤣🤣Mtu unamuheshimu vizuri tu kumbe kichaa!
Kwahiyo id ya de gunner ni ustaarabu halafu elevenn ni ya ukorofi🤣
Huoni id zimeunganishwa!Yule mtoto ni kichaa kweli kweli mwisho leo tulikosana kwenye uzi wangu 🤣🤣
Kumbe ndio eleven woiiiiiii
Hivi mpaka inajulikana hivi ni Kwamba Ametumia email moja au wanajuaje ?Kwamba elevenn ndo de gunner au macho yangu?
Aisee jf ukikaa vibaya kinakulamba
The Icebreaker V.A.R hapa ina umuhimu mkubwa sanaAnd we love as heck yaani ukinikubalia jf nzima Itakujua tu queen..
Ila ukizingua sie hatunaga mbamba tunapiga kwenye mshono
Yes, I think tho tunakwaruzana but it is constructive, and we can be a good match unaonaje?
Email moja id mojaHivi mpaka inajulikana hivi ni Kwamba Ametumia email moja au wanajuaje ?
Zamu yangu itafika acha nisicheke sana 😂Email moja id moja
Haikubali kufungua id nyingi kwa email 1
Mods wanajua siri za members wote ni vile wanakausha hadi mtu uvuke mipaka ndo wanakuaibisha kama hivi.