Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wala si partner wangu, ondoka shaka😆❤️❤️❤️ Always!
Ila country unanitafutia ugomvi na mate wangu humu Lamomy.
Mwamba alikua ananitukana na I'd moja na nyingine anajifanya ni mwana🤣Zamu yangu itafika acha nisicheke sana 😂
Mimi mwenyewe wakiamua kuniunganishia nitacheka sanaaa😂Zamu yangu itafika acha nisicheke sana 😂
🤣🤣🙌Mwamba alikua ananitukana na I'd moja na nyingine anajifanya ni mwana🤣
Daah yeye adui na yeye mpatanishi halafu anakuja pm kukupa mbinu za kumshinda adui yakoMwamba alikua ananitukana na I'd moja na nyingine anajifanya ni mwana🤣
Shoga ni kasheshe 🤣🤣Mimi mwenyewe wakiamua kuniunganishia nitacheka sanaaa😂
Mtu anakua na id moja ya ustaarabu hekima kama zote akija Pm unajikuta unajaa kwenye mfumo kumbe ana maparody 10 ya ujinga.
Hamna yaan z wengine wakorofi kama walivyofanya kwa de gunnerWaunganishe id zangu au?
MAOMBI yako ni batili shindwaa 😂Hamna yaan z wengine wakorofi kama walivyofanya kwa de gunner
Hakuna ubatili wowote maombi yangu ni halali kwa ustawi wa platform hii🔥🔥MAOMBI yako ni batili shindwaa 😂
Imenibidi nikimbie pm kuchungulia maongezi yetu kama kuna sehemu niliboronga nijiandae na moto wa elevennHamna yaan z wengine wakorofi kama walivyofanya kwa de gunner
Sio wote wanazingua lakini , kuna wengine wana I'd, za nyuzi za akili tu na nyuzi za kuchangamana kupoteza mda🤔Hakuna ubatili wowote maombi yangu ni halali kwa ustawi wa platform hii🔥🔥
No , aje aone parody la jamaa , tuna case nae huyuHuyo siwezi kumfanyia hivyo 😂😂😂
Na hata nikiwa na id Mia atazijua tu
Dear ujue utakuja kunivunja mbavu🤣🤣Imenibidi nikimbie pm kuchungulia maongezi yetu kama kuna sehemu niliboronga nijiandae na moto wa elevenn
Ni kubaya asee
Ukasema eeh ile I’d yangu ya tajiri wa katoro na hii zikiunganishwa nitaweka wapi sura yangu 😂Imenibidi nikimbie pm kuchungulia maongezi yetu kama kuna sehemu niliboronga nijiandae na moto wa elevenn
Nimemaanisha zile I'd korofi ndio ziwe zinaunganishwa ili kuweka utulivu jukwaaniSio wote wanazingua lakini , kuna wengine wana I'd, za nyuzi za akili tu na nyuzi za kuchangamana kupoteza mda🤔