Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! ๐Ÿ‘€

Mimi bwana nina husudu sana mwanamke mwenye upeo wa mambo, hapo awali I had one but it turns out to be a man

Ila anayefuatia ni mtoa mada, nakukubali sana,kwahiyo nikija pm please text zangu zisikae kwenye foleni zijibiwe chap
 
Pole

Join Friday tayari unanikubali
Asante lakini๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mimi uniambiii kitu kwa Madame B
@cocsstic na Khantwe
Mungu awaweke sana..
 
Ohoooo sawa mkuu hakuna tabu
Sasa hilo parody umetengeza la nini ๐Ÿ˜‚
Just curious tu coz nasikia watu wana I'd siju 10 au 20 nikaona eeh ngoja nijaribu niwe na hii moja

Ila it's a nice experience napishana na watu ambao tuna interact everyday kimya kimya without much noise,kama wewe now hunijui hahaha,yani kama nimevaa mask vile

Tofauti na wengine ambao ni wengi huzitumia kwa ugomvi,matusi na ujinga mwingine mwingi, my conscience does not allow that ,I will always be me
 
Kuna ladha yoyote unaipata kwa hili fekero๐Ÿ™„

Uliona ukinimwagia maua kwa I'd yako utashusha brand et ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unakuja halafu unakataa๐Ÿ˜Ž
 
Yap kuna ladha fulani amazing sana yani

Hapana sishushi brand coz huwa sitoi cheap compliment,kwahiyo kama nimekukubali basi unastahili

Nikwambie kitu, hivi ndivyo watu wa jf wanavyofanya,utawasikia siku nyingi sana sijaingia jf kumbe ndio kama hivi wanaingia halafu wanajifanya hawaingii,kama mimi now I'd yangu ambayo inajulikana imechill,waeza ona mbona huyu mwamba hayupo,kumbe nipo around nawazoom tu
 
Ohooo asante mkuu nimezipokea pongezi zako
Tuendelee kulisongesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ