Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Hata mimi nashindwa kujua umezidi nini, maana kuandika vizuri siyo kosa bana. πŸ˜‚

Labda alikosea kitufe, alitaka kubonyeza Like akabofya delete πŸ˜‚.
Shenziii zako twin 🀣🀣🀣
Kidude hicho vp na kuna sehemu nyingine nimeona mauza uza
 
Acha kunichekesha 🀣🀣
Huo umeenda twin
πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna mwingine naye walimfanyia huu mchezo, akawaanzishia uzi kabisa, alinifurahisha tu alichokisema, ngoja nimnukuu.

" Moderators kama hamtorudisha nyuzi zangu mlizo zifuta, mimi ninazo copy zake zote kwa hiyo nitafanya kuwa nazipost upya kila siku ili niwajazie server zenu vizuri"

Nilisoma nikacheka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unanishauri je twin nifungue na mimi au🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…