ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #1,041
Hata mimi naona hapa tu nawashwa ila nakazaaaaaaaπ moderator kanifutia uzi mzuri mwenyewe nilikua na u feelπ Utadumu siku chache tu kama msomaji. Kuna nyuzi zingine ukizisoma utajikuta vidole vinawasha kuanzisha uzi wako.
Na huenda mpaka sasa ukawa tayari na uzi ulio uandaa kwa ajili ya kesho, ila unanichora tu hapa π.Hata mimi naona hapa tu nawashwa ila nakazaaaaaaaπ moderator kanifutia uzi mzuri mwenyewe nilikua na u feel
Hapana twin natulia kama maji mtunginiNa huenda mpaka sasa ukawa tayari na uzi ulio uandaa kwa ajili ya kesho, ila unanichora tu hapa π.
Haya Twin, pata muda wa kuwa msomaji ila JF huwa ina vishawishi vingi, usije ukasaliti ahadi yako tu kesho.Hapana twin natulia kama maji mtungini
π€£π€£π€£ sawa twinHaya Twin, pata muda wa kuwa msomaji ila JF huwa ina vishawishi vingi, usije ukasaliti ahadi yako tu kesho.
My all time crush sijui alipotelea wapi. Yaani nilikuwa nikiingia jukwaani lazima kwanza nitafute kakomenti niniπ€£π€£π€£
Sis maneno yapo tuMy baby sis π kumbe sisi ni waifu matirio na hakuna aliyewahi kutuambia? Hofu yangu watu watasema hii ni fekero tumekuja kujifagilia
Makebo yake kabisa π€£Sis maneno yapo tu
Atakayesema tumekuja kujifagilia makebo yake
Sisi ni waifu matirio na sitaki kuambiwa tofauti na hapo π
Pole yake aiseeMakebo nashauri ubadili I'd maana wabaya wako walifanikiwa katika hili kiasi kwamba watumiaji wengine wanajisahau na kutumia hili neno makebo kumbe maskini ni I'd yako
Binafsi kwenye I'd yangu ya muda mrefu walijaribu pia kuichafua lkn ilishindikana,ila yako naona Ishachafuka tayar
Habar za siku nyingi,wanasemaje kusini hukowoooow kwa mara ya kwanza nimefeel kupendwa kweny hii jukwaaπ₯°π₯°πΉ
salama kabisa,,huku kusini niπ₯Άπ₯ΆHabar za siku nyingi,wanasemaje kusini huko
Your very important person πππwoooow kwa mara ya kwanza nimefeel kupendwa kweny hii jukwaaπ₯°π₯°πΉ
asanteeee very much β€οΈYour very important person πππ
πππππππππππasanteeee very much β€οΈ
Poa tupo pamojasalama kabisa,,huku kusini niπ₯Άπ₯Ά
View: https://vm.tiktok.com/ZSXqPLbMn/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
π€£π€£Shee sina bandoπ€£
Aaaah wapi! Bila kupelekeana moto HATUTAKI urafiki! ππ€βπͺNi nani unaye crush naye hapa jukwaani? π
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani π
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
ShesRise_1 π€