Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Yeah unajua nimerudisha username yangu watu walishaizoea ile
Hahaha 😁
Unatuchanganya watesi 🀣🀣 Umemkataa kwa sababu ni mzuri sana kwamba umejiona wewe hu deserve?
Aiseee umeniboa 😭😭
Ungenipa sababu nyingine ningeelewa πŸ˜‚
 
Ona sasa ukatukosesha ubwabwa
 
Unatuchanganya watesi 🀣🀣
Umemkataa kwa sababu ni mzuri sana kwamba umejiona wewe hu deserve?
Aiseee umeniboa 😭😭
Ungenipa sababu nyingine ningeelewa πŸ˜‚
No sio kwamba I dont deserve
Nimempa sifa yake ni mkaka mzuri
Ila kwa ujana ule na alivyo nilijua tu hapa unaweza gongwa watu wakatembea mbele na sikuwa tayari kwa hilo...
Hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…