G
ex wa min -me siwezi kumchukua bwashee,ni lazima atakua ananuka Bia kama Glasi za Bar.Mda mwingine demu ukijua scandal zake kuna namna inakata bn, mfano we saiv umchukue ex wa Min Me utashindwa hata kumsifia hapa jukwaani we ukisema demu ana harufu ya asili yeye atasema mdomo wake unatoa harufu ya kitunguu.
Dah asante mahi๐Hongera yako crush kakujibu vizuri hadi rahaaaโฅ๏ธ
Acha tu! chupa iliamka na chai๐คฃ๐คฃShindii ushakunywa mbege iliyo lala ๐
Hahaha kabisa , hili ni jeshi kubwa ๐คฃ
Hahahaha we mtaje km unamjua, Haina tatizoPunguza userious bwana. Mtaje yuleee
hapo kwangu umensingizia kabisaa mi sio timu korofi jamni ๐๐๐๐Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? ๐
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani ๐
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
Watu ninao wa crush jukwaani
For Boys
๐
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker ๐ง
Mshana Jr my Dad โค๏ธ
Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi๐
ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee๐
Kwa girls ๐
binti kiziwi ๐ง
Binti wa zamani ๐๐
win-one kakorofi haka๐คช
ShesRise_1 ๐ค
๐คฃ bangiAcha tu! chupa iliamka na chai๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃakija hapa kalewa mi Simo.ex wa min -me siwezi kumchukua bwashee,ni lazima atakua ananuka Bia kama Glasi za Bar.
Na iheshimiwe๐คฃ๐คฃ bangi
Ndio hivyo hivyo๐... huwa napenda kumchokozachokoza Erythrocyte, mtoa habari wa CHADEMA! ... sasa sijui hizo CRUSH ndio zinaanzaga hivyo!!? ETI JAMANI!?
๐
Mtaje wewe๐คฃHahahaha we mtaje km unamjua, Haina tatizo
Umetisha Mtumishi, km wako wengi hao watakua watendaji