Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #21
Huyo jamaa anabisha kitu asichokijuabaada ya kutoka arsenal,akaenda marekani kutengeneza falsafa ambayo kimsingi siyo yake ni ya cruyff
Kama.hujui kitu uliza ,sio unaropoka
Pep mwenyewe anasema hivi
pep anakiri kwa mdomo anasem
" I was always looking on Wenger's football tactics before join this Field"
Na alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Wenger na cruyff
Jenga hoja ww , kila siku pumba tuJipongezeni Arsenal fans, ndicho mulichobakisha hicho kujitaftia sifa za kijinga mana makombe ya mana mulishayasahau.
Lakini J.Klopp mfumo anautumia kwenye hii Liverpool iliyochukua ubingwa wa ulaya ameu-reinvent kutoka kwa Pep. Pep Anaweza akawa hana kingine zaidi ya tik-tak lakini kwenye hiyo hiyo tik-tak kuna makocha wana gain kitu na kinaenda kuwasaidia kwenye timu zao na hivyo kuonesha tik-tak bado ina impact kubwa kwenye modern football.zaidi ya tiktak hana kingine,tangu barce,bayern hadi leo ni kitu kilekile tu
wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?Lakini J.Klopp mfumo anautumia kwenye hii Liverpool iliyochukua ubingwa wa ulaya ameu-reinvent kutoka kwa Pep. Pep Anaweza akawa hana kingine zaidi ya tik-tak lakini kwenye hiyo hiyo tik-tak kuna makocha wana gain kitu na kinaenda kuwasaidia kwenye timu zao na hivyo kuonesha tik-tak bado ina impact kubwa kwenye modern football.
Mkuu hebu nisaidie klopp kaitumiaje tik tak ?Lakini J.Klopp mfumo anautumia kwenye hii Liverpool iliyochukua ubingwa wa ulaya ameu-reinvent kutoka kwa Pep. Pep Anaweza akawa hana kingine zaidi ya tik-tak lakini kwenye hiyo hiyo tik-tak kuna makocha wana gain kitu na kinaenda kuwasaidia kwenye timu zao na hivyo kuonesha tik-tak bado ina impact kubwa kwenye modern football.
Nimesema ameifanyia reinvention na wala hajaichukua nzima nzima kama ilivyo. Yaan kachukua vitu baadhi tu kisha akavipachika kwenye style yake ya gagern pressing.Mkuu hebu nisaidie klopp kaitumiaje tik tak ?
Au huijui tik tak inavyochezwa?
Tik tak ni characterised by short passing and movement, working the ball through various channels, and maintaining possession.
Klopp ni bingwa wa pressing ,japo siku hizi ana aina nyingine kabisa ya mpira ,na Mara chache anatumia gergen pressing
Sijakuelewa kabisa!! Hebu rudia tena kuuliza maswali yako!wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?
Kwa hizo sifa ulizotaja wala sio kwamba ni tik takNimesema ameifanyia reinvention na wala hajaichukua nzima nzima kama ilivyo. Yaan kachukua vitu baadhi tu kisha akavipachika kwenye style yake ya gagern pressing.
Zamani kabla ya Pep hajatua EPL ulikuwa ukiwaona Liverpool wanaanzia mpira nyuma!? Yaani mashambulizi yao yanaanzia kupikwa kwanzia nyuma hasa kwa mabeki wa pembeni?
Uliwahi kumuona akichezesha viungo wawili ambao kiasili sio wakabaji? Lakini hilo kwa hii miaka miwili iliyipita tumeliona.
wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?