Cruyff baba wa tik tak football duniani (Sehemu ya 1)

Kama.hujui kitu uliza ,sio unaropoka

Pep mwenyewe anasema hivi

pep anakiri kwa mdomo anasem

" I was always looking on Wenger's football tactics before join this Field"

Na alisema yeye ni shabiki mkubwa wa Wenger na cruyff

Jipongezeni Arsenal fans, ndicho mulichobakisha hicho kujitaftia sifa za kijinga mana makombe ya mana mulishayasahau.
 
zaidi ya tiktak hana kingine,tangu barce,bayern hadi leo ni kitu kilekile tu
Lakini J.Klopp mfumo anautumia kwenye hii Liverpool iliyochukua ubingwa wa ulaya ameu-reinvent kutoka kwa Pep. Pep Anaweza akawa hana kingine zaidi ya tik-tak lakini kwenye hiyo hiyo tik-tak kuna makocha wana gain kitu na kinaenda kuwasaidia kwenye timu zao na hivyo kuonesha tik-tak bado ina impact kubwa kwenye modern football.
 
wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?
 
Mkuu hebu nisaidie klopp kaitumiaje tik tak ?

Au huijui tik tak inavyochezwa?

Tik tak ni characterised by short passing and movement, working the ball through various channels, and maintaining possession.

Klopp ni bingwa wa pressing ,japo siku hizi ana aina nyingine kabisa ya mpira ,na Mara chache anatumia gergen pressing
 
Nimesema ameifanyia reinvention na wala hajaichukua nzima nzima kama ilivyo. Yaan kachukua vitu baadhi tu kisha akavipachika kwenye style yake ya gagern pressing.

Zamani kabla ya Pep hajatua EPL ulikuwa ukiwaona Liverpool wanaanzia mpira nyuma!? Yaani mashambulizi yao yanaanzia kupikwa kwanzia nyuma hasa kwa mabeki wa pembeni?

Uliwahi kumuona akichezesha viungo wawili ambao kiasili sio wakabaji? Lakini hilo kwa hii miaka miwili iliyipita tumeliona.
 
wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?
Sijakuelewa kabisa!! Hebu rudia tena kuuliza maswali yako!
 
Nimesema ameifanyia reinvention na wala hajaichukua nzima nzima kama ilivyo. Yaan kachukua vitu baadhi tu kisha akavipachika kwenye style yake ya gagern pressing.

Zamani kabla ya Pep hajatua EPL ulikuwa ukiwaona Liverpool wanaanzia mpira nyuma!? Yaani mashambulizi yao yanaanzia kupikwa kwanzia nyuma hasa kwa mabeki wa pembeni?

Uliwahi kumuona akichezesha viungo wawili ambao kiasili sio wakabaji? Lakini hilo kwa hii miaka miwili iliyipita tumeliona.
Kwa hizo sifa ulizotaja wala sio kwamba ni tik tak

Na kuanzia mpira kwa mabeki mbona timu nyingi makocha wanapenda hivo

Hata huyu Unai wa arsenal anapenda sana hivo ,hata Man u wanapenda sana hivo , Chelsea pia , na morden fullback wanapenda kushambulia ,

Hiyo yote haifanyi kuwa ni reinvention ya tik TAK

Tik tak ni characterised by short passing and movement, working the ball through various channels, and maintaining possession.

Hiyo ndio tik TAK ambayo Pep anatembea nayo popote kule ,

Kuanzia mpira nyuma ni tactic tu ambayo unafanya kutengeneza buildup na kupiga pass fupi fupi kusogea eneo la kiungo na kumaintain possession kwa kupitisha mipira kwenye channels .

Nenda YouTube wanaeleza vzr jinsi pep anavyoifundisha hii tik tak
 
wewe neno tiktak hujawahi kulisikia!?..unadhan limeletwa na pep?..cruyff mfumo alioujenga ulikua unaitwaje?..una uhakika gani klopp kaiga tiktak ya pep?..klopp kaanza kufundisha lini mfumo huo?

Cruyff alijenga Total Football. Tiktak imeletwa na Luiz Aragones
 
Back
Top Bottom