Crypto currency (Digital currency)

Crypto currency (Digital currency)

booker T washington

Senior Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
104
Reaction score
36
*HOW TO MAKE MONEY WITH CRYPTOCURRENCY/WAYS TO MAKE MONEY WITH CRYPTO??*

-cryotocurency kuna pesa nzuri tu na unaweza kuacha kazi zako zote na ukadeal na crypto and ikaendesha maisha yako na ukaendelea pia kimaisha *ila lazima uwe serious na kujua nini unafanya pia focus....*

*-KUNA NJIA MBILI ZA KUTENGENEZA PESA IN CRYPTO NAZO NI ZIFUATAZO*
trading (day trading)

-investment on crypto

*kwa kungalia njia mbili hapo juu nitazungumzia moja baada ya nyingne ila tutabase zaid kwenye investment in crypto coins kwani ndicho kitu ambacho nilitaka kukiweka sawa kwa kila mtu na kila member aweze kupata mwanga na kuweza kupata pesa in crypto sasa*

*NOTE*
-njia ya pili nimesema *investment in crypto coins* na sio sehemu nyingne nitaanza ma njia ya kwanza kuelezea kwa ufupi

*TRADING (day trading)*
-hii ni njia ambayo watu weng sana uitumia ili kumake money... hapa tunazungumzia kile kitendo cha kununua coins ambazo zipo in differency exchange pind bei imeshuka na ikipanda kwa kias fulan tunauza ili kumake profit

ni njia salama na haina mashka pia ina faida nzuri sana tu ila utaona faida ukiwa unajua nini unafanya pia ukiwa unajua coin gani ununue na uuze pia kwa wakat gani na kwasababu gani... (entry and exit point in right time)

*njia hyo kila mmoja wetu hapa na aweze kuifanya na kwa mtaji wowote ule hata kama ni mdogo na mwsho wa sku utakuw bila shaka ila kuna loss pia kama utakuwa unatrade bila kujua hzo entry and exit points with facts

*⛔NB*
-Kwa ushauri wangu ni kuwa kila mtu anaweza kutrade na kwa wakat wowote ila kama hujui ni wakati gani ununue na wakati gani uuze kwasababu gani basi its better ukatafuta *MENTOR* ili awe anakusaidia kukujulisha ni coin gani ununue na wakat sahihi wa kuuza kwa kukupa signals mbali mbali

*nimeshauri hvo kwa maana unaweza kuwa na mtaji ila usipate faida endapo tu utakuwa unatrade pasipo na muongozo maalumu, ila kama unaweza kufanya market analysis vizuri basi unaweza kuendelea trading bila shida*

NIMEJARIBU KUELEZEA NJIA YA KWANZA AMBAYO TUNAWEZA KUTENGENEZA PESA IN CRYPTOCURRENCY NA TUKUMBUKE KUWA SIFUNDISHI TRADING KATKA KIPENDI CHA LEO ILA NAFUNDISHA NJIA AMBAZO TUNAWEZA KUPATA PESA IN CRYPTO LIFE

*baada ya hapa nitaenda kuelezea njia ya pili ambayo ni investment side, itabd tuwe makin sna kwenye njia hii ya pili maana kuna mengi ya kuyajua na tukiwa makin kila mmoja wetu hapa atakuwa mnufakika wa njia hii ya pili*

stay tune MY WhatsApp +255656202162
 
Back
Top Bottom