Sikio la kufa halisikii dawa ndugu...huwezi lazimisha ng'ombe kunywa MMA😊😊Jamani vijana hii fursa ya kujifunza ni nzuri kwa vijana kujipatia kipato acheni platform za matapeli jifunzen hizi ni zinalipaView attachment 2338111
PumbaaBongo ukisikia fursa, basi wewe ndio fursa yenyewe.
Channel za pesa Mbongo hata ndugu yake hamwambii.
Pumbaa...alizeti na crypto 🤣🤣Dogo mkaldayo zama Chaka ukalime Alizeti na ufuta inalipa kichiz kuliko crypto
Hizi kauli za kisichana zinanikera sana nikiziona humu Jf, mko nazo sana sana wa 1-3 yrs On tradingSikio la kufa halisikii dawa ndugu...huwezi lazimisha ng'ombe kunywa MMA[emoji4][emoji4]
Pumbaahizi kauli za kisichana zinanikera sana nikiziona humu Jf, mko nazo sana sana wa 1-3 yrs On trading
Jamaa anasema yuko na brokerage on the Conner hahaha let's wait and seeDogo anapenda attention.yaani akiwa tajiri yule dogo atatunyea ujue. Anajiona Kama ana akili kuliko watanzania wote.
Sasa mchalenji ama umwambie ukweli kidogo uone anakupiga block
Kwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puuWatu wa forex na crypto sijui mnakuwaga na wenge gani?
Mbona bloggers wanapiga vibunda vya maana watu wanalaza mpka mil 10 kwa mwezi na huwaoni wakianzisha nyuzi humu.
Kama hutafuti watu wa kuwapiga, unachofanya hapa ni utoto, nyie ndo mnafanya akina Mwigulu waje na masheria ya ajabu ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anasema yuko na brokerage on the Conner hahaha let's wait and see
Achana naye kila mtu Ana mawazo yake. Even within three hours sema anakutana sie machinga wa trading Basi anarudharau Kuna muda machinga atafungua duka la jumla ndipo atakapojuta why hakukomaa mapema muda huo siku zimeishaKwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puu
Waulize waliolink account mkuu😂 kumbuka walikuwa watatuUmepata akaunti za kumaneji lakini. Kawacheki blogi fulani huwa wanatoa mbinu namna ya kucheza nawatu ili upate mtaji nadhani Ni no nosense forex
Kamua hela Basi uwe unatuonyeshea na withdraw humu ili tuzidi sijui kufanyeje. Uwe unaonyesha withdraw Ile ya benki hela from broker to bank account the same amount the same names na kila kitu. Baadaye uingie kwa prop trading firm uwakilishe Taifa ama unasemajeWaulize waliolink account mkuu😂 kumbuka walikuwa watatu
Tanzania unaweza kusafiri kilometers 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa. Kijana zama Chaka ukalime achana na crypto. Mihogo, ufuta na Alizeti pamoja na matikiti zinalipa kichiz.Kwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puu
Mbona ha tredi Sasa. Mwenyewe Kuna muda nilitaka kufungua brokerage company Mana ukiwa na hela like $10k+ unapata kampuni. Wewe Ni mwendo wa kula kamisheni ujue. Apoteze apate wewe yako iko pale pale si unakutanisha watu wawili wenye different conviction with value price of certain financial commodities.Jamaa anasema yuko na brokerage on the Conner hahaha let's wait and see
Tusilazimiahane basi we kama unataka kulima mihogo kalimeTanzania unaweza kusafiri kilometers 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa. Kijana zama Chaka ukalime achana na crypto. Mihogo, ufuta na Alizeti pamoja na matikiti zinalipa kichiz.
FANYENI KAZI NYIE NA MZALISHE MALI
KAMMOON!
Fanya kazi wewee acha porojo jamvinTusilazimiahane basi we kama unataka kulima mihogo kalime
Wengi unawambia lakini hawaamini wamekariri kuibiwa mtandaoniBongo ukisikia fursa, basi wewe ndio fursa yenyewe.
Channel za pesa Mbongo hata ndugu yake hamwambii.
Pumbaa kazi sio mbaka...uchoke physically mkuu unaweza...tumia akili ukafocus na ikawa ni kazi ndege mweupe wewFanya kazi wewee acha porojo jamvin
Tayari nimeshakuwini kisaikolojiaPumbaa kazi sio mbaka...uchoke physically mkuu unaweza...tumia akili ukafocus na ikawa ni kazi ndege mweupe wew
Halafu anajiita trader. The greatest shit with trading is controlling his/her emotions na ndio Mana ameliwa za kwake Sasa anataka wajinga afanyie mazoezi kwa hela zao Ila za kwake anaogopa maumivu yake.Tayari nimeshakuwini kisaikolojia
Halafu anajiita trader. The greatest shit with trading is controlling his/her emotions na ndio Mana ameliwa za kwake Sasa anataka wajinga afanyie mazoezi kwa hela zao Ila za kwake anaogopa maumivu yake.
Jf tatizo Kila mtu kasoma sana anaamaarifa sana...hakuna asichokijua...anabusara sana....Kila mtu humu huwaga ni genius sana ana IQ kubwa sana....haswa kwenye jukwaa la biashara na uchumi...damn!!Tayari nimeshakuwini kisaikolojia