Crypto currency inalipa

Crypto currency inalipa

Dogo anapenda attention.yaani akiwa tajiri yule dogo atatunyea ujue. Anajiona Kama ana akili kuliko watanzania wote.
Sasa mchalenji ama umwambie ukweli kidogo uone anakupiga block
Jamaa anasema yuko na brokerage on the Conner hahaha let's wait and see
 
Watu wa forex na crypto sijui mnakuwaga na wenge gani?
Mbona bloggers wanapiga vibunda vya maana watu wanalaza mpka mil 10 kwa mwezi na huwaoni wakianzisha nyuzi humu.

Kama hutafuti watu wa kuwapiga, unachofanya hapa ni utoto, nyie ndo mnafanya akina Mwigulu waje na masheria ya ajabu ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puu
 
Kwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puu
Achana naye kila mtu Ana mawazo yake. Even within three hours sema anakutana sie machinga wa trading Basi anarudharau Kuna muda machinga atafungua duka la jumla ndipo atakapojuta why hakukomaa mapema muda huo siku zimeisha
 
Waulize waliolink account mkuu😂 kumbuka walikuwa watatu
Kamua hela Basi uwe unatuonyeshea na withdraw humu ili tuzidi sijui kufanyeje. Uwe unaonyesha withdraw Ile ya benki hela from broker to bank account the same amount the same names na kila kitu. Baadaye uingie kwa prop trading firm uwakilishe Taifa ama unasemaje
 
Kwenye fx 10 inatengenezwa hata kwa wiki mbili broo chill tuliza puu
Tanzania unaweza kusafiri kilometers 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa. Kijana zama Chaka ukalime achana na crypto. Mihogo, ufuta na Alizeti pamoja na matikiti zinalipa kichiz.

FANYENI KAZI NYIE NA MZALISHE MALI

KAMMOON!
 
Jamaa anasema yuko na brokerage on the Conner hahaha let's wait and see
Mbona ha tredi Sasa. Mwenyewe Kuna muda nilitaka kufungua brokerage company Mana ukiwa na hela like $10k+ unapata kampuni. Wewe Ni mwendo wa kula kamisheni ujue. Apoteze apate wewe yako iko pale pale si unakutanisha watu wawili wenye different conviction with value price of certain financial commodities.
Ukiwacheki leverate wanadili kunisaidia kufungua kampuni.

Ujue brokers wanajifanyaga Kama wanampenda traders wanawafundisha wanawafanyia analysis mpaka huwa wanakupa traders wakubwa watoe lecture ili wavute watu wengi newbies or dumb money to market.
 
Tanzania unaweza kusafiri kilometers 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa. Kijana zama Chaka ukalime achana na crypto. Mihogo, ufuta na Alizeti pamoja na matikiti zinalipa kichiz.

FANYENI KAZI NYIE NA MZALISHE MALI

KAMMOON!
Tusilazimiahane basi we kama unataka kulima mihogo kalime
 
Bongo ukisikia fursa, basi wewe ndio fursa yenyewe.

Channel za pesa Mbongo hata ndugu yake hamwambii.
Wengi unawambia lakini hawaamini wamekariri kuibiwa mtandaoni
Mimi ndugu wote niliwapa mchongo lakini wakaogopa
 
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia
Halafu anajiita trader. The greatest shit with trading is controlling his/her emotions na ndio Mana ameliwa za kwake Sasa anataka wajinga afanyie mazoezi kwa hela zao Ila za kwake anaogopa maumivu yake.
 
Jf tatizo Kila mtu kasoma sana anaamaarifa sana...hakuna asichokijua...anabusara sana....Kila mtu humu huwaga ni genius sana ana IQ kubwa sana....haswa kwenye jukwaa la biashara na uchumi...damn!!
 
Back
Top Bottom