CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki ilopita lkn kwa sasa ni takataka(trash coin)

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.

Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.

Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession kama profession nyingine na inabidi uisomee ili usijeukakutana na majanga yalowapata wale investors wa hii Luna coin.

Kwanza ntaelezea kwa nn watu walidanganya na wakadanganyika. Kwenye crypto hizi coins bei yake inabadilikabadilika sana so wengi huogopa kuinvest. Sasa akatokea jamaa mmoja anajiita somebody 'Kwon' raia wa korea na muhitimu wa Stanford akabuni coin moja ambayo ilikua pegged kwenye 'stable coin' fln inaitwa UST (Terra USD).

Subiri, najua unaweza kujiuliza stable coin ni nn. Stable coin ni coin ambayo iko in sync na asset au currency ambayo haibadiliki sana value yake (less volatile asset/currency) hivyo kufanya hio coin kuwa stable. Stable coin nyingi zinakua pegged kwenye usd kwa mfano (hadi wiki ilopita) 1UST ilikua ni sawa na 1 USD ($ dollar). So hio inamaanisha value ya hio TerraUSD ni inakua sawa na value ya Dollar. Mfano mwngine wa stable coin maarufu ni Tether (USDT) hii ipo kwenye blockchain ya etherium.

Sasa huyu Kwon akatengeneza coin hii inaitwa Luna ambayo sio stable coin lkn akaipeg na Stable coin hio ya TerraUSD (UST).

So watu wengi wanaojiita investor wa crypto wakaona Luna Coin ni deal coz iko pegged kwenye stable coin(bila kujua how hio UST inavyopata stability yake). So wakanunua na coin ilifika mbali sana last week value ya coin moja ya luna ilikua ni $85.

Kumbe haya mambo yanahitaji utaalam na investors wakurupukaji hawakujua hilo.

Iko hv, nmesema stable coin zinakua pegged na less-volatile assets, so wengi hutumia USD DOLLAR. Mfano value ya USDT inachezea kwenye 1 dollar, na value ya UST (TerraUsd) ilikua inachezea humohumo. Tofauti ni kwamba USDT inatumia Real Dollar Reserve, lkn hii UST inatumia virtual au tuuite 'Algorithmic dollar'. Yaan huyu Kwon alitengeneza mechanism fln kwenye program yake ambayo inatumia bitcoin reserve ili kumantain value ya UST (stable coin anayotumia kubackup Luna).

Sasa kwa wachache walolifahamu hilo walijua kwamba aidha wasiinvest kwenye Luna coz stablecoin yake UST haitumii real Dollar kama zilivyo Tether (USDT) na stable coin nyngne Au watumie strategy kwamba bitcoin ikianza kushuka kwa kasi basi ni muda kwa kuuza Luna coz behind the scenes Luna inategemea Bitcoin.

Lakini wale wanaojidai kujua kila kitu waliposikia Luna iko pegged kwenye stablecoin UST moja kwa moja waka-buy.

So kilichotokea ni kwamba kama ulikua na Luna 1000 last week ungeweza nunua Range mpya ya 2021 na ukabakiza chenji ya kutosha tu ila kama bado unazo leo hii basi hazina tofauti na trash coz hata IST used choka mbaya kutoka japan haupati.

Note::Kuna wanaojipa moyo kuwa Luna itaregain value yake lkn ni kitu ambacho haiwezekani coz madudu yake yashawekwa wazi na issue ya kutumia virtual dollar imewakatisha tamaa sana waloamini Luna coin. Na isitoshe hapa nnavyoongea huyo Kwon 'Aloanzisha Luna' alikua anaomba msaada polisi coz watu walivamia nyumba yake juzi na jana wakimshutumu kuwadanganya khs coin alotengeneza.

Ukipewa ushauri khs kuinvest na mtu fln kuwa makini sana coz kasoma summary ya kitabu thn akatengeneza summary yake ndo akatumia hio summary yake kukyshauri

~Peace
Kali Linux
 
Kila kitu kina faida na hasara.
Ni sawa mkuu lkn kwenye issue technical kama hizi inabidi ujue kuna faida na hasara kiasi gani. Pia ujue namna ya kucontrol hasara.

Na hii imechafua jina la crypto market kwa sasa coz inazidi kufanya haya mambo yaonekana kama ni scam coz watu wanapoteza sana fedha. Kwa hali hio unategemea kweli mtu wa kawaida aje kukubali kulipia bidhaa kwa mangi kutumia crypto?
 
Wapi ntaweza kupata nataka ninunue za dollar 50 zikiwa hazina thamani. Bianance zipo maana app nliyonayo sijaona. Si ndo terra kwa jina lingine
 
Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.

Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.

Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession kama profession nyingine na inabidi uisomee ili usijeukakutana na majanga yalowapata wale investors wa hii Luna coin.

Kwanza ntaelezea kwa nn watu walidanganya na wakadanganyika. Kwenye crypto hizi coins bei yake inabadilikabadilika sana so wengi huogopa kuinvest. Sasa akatokea jamaa mmoja anajiita somebody 'Kwon' raia wa korea na muhitimu wa Stanford akabuni coin moja ambayo ilikua pegged kwenye 'stable coin' fln inaitwa UST (Terra USD).

Subiri, najua unaweza kujiuliza stable coin ni nn. Stable coin ni coin ambayo iko in sync na asset au currency ambayo haibadiliki sana value yake (less volatile asset/currency) hivyo kufanya hio coin kuwa stable. Stable coin nyingi zinakua pegged kwenye usd kwa mfano (hadi wiki ilopita) 1UST ilikua ni sawa na 1 USD ($ dollar). So hio inamaanisha value ya hio TerraUSD ni inakua sawa na value ya Dollar. Mfano mwngine wa stable coin maarufu ni Tether (USDT) hii ipo kwenye blockchain ya etherium.

Sasa huyu Kwon akatengeneza coin hii inaitwa Luna ambayo sio stable coin lkn akaipeg na Stable coin hio ya TerraUSD (UST).

So watu wengi wanaojiita investor wa crypto wakaona Luna Coin ni deal coz iko pegged kwenye stable coin(bila kujua how hio UST inavyopata stability yake). So wakanunua na coin ilifika mbali sana last week value ya coin moja ya luna ilikua ni $85.

Kumbe haya mambo yanahitaji utaalam na investors wakurupukaji hawakujua hilo.

Iko hv, nmesema stable coin zinakua pegged na less-volatile assets, so wengi hutumia USD DOLLAR. Mfano value ya USDT inachezea kwenye 1 dollar, na value ya UST (TerraUsd) ilikua inachezea humohumo. Tofauti ni kwamba USDT inatumia Real Dollar Reserve, lkn hii UST inatumia virtual au tuuite 'Algorithmic dollar'. Yaan huyu Kwon alitengeneza mechanism fln kwenye program yake ambayo inatumia bitcoin reserve ili kumantain value ya UST (stable coin anayotumia kubackup Luna).

Sasa kwa wachache walolifahamu hilo walijua kwamba aidha wasiinvest kwenye Luna coz stablecoin yake UST haitumii real Dollar kama zilivyo Tether (USDT) na stable coin nyngne Au watumie strategy kwamba bitcoin ikianza kushuka kwa kasi basi ni muda kwa kuuza Luna coz behind the scenes Luna inategemea Bitcoin.

Lakini wale wanaojidai kujua kila kitu waliposikia Luna iko pegged kwenye stablecoin UST moja kwa moja waka-buy.

So kilichotokea ni kwamba kama ulikua na Luna 1000 last week ungeweza nunua Range mpya ya 2021 na ukabakiza chenji ya kutosha tu ila kama bado unazo leo hii basi hazina tofauti na trash coz hata IST used choka mbaya kutoka japan haupati.

Note::Kuna wanaojipa moyo kuwa Luna itaregain value yake lkn ni kitu ambacho haiwezekani coz madudu yake yashawekwa wazi na issue ya kutumia virtual dollar imewakatisha tamaa sana waloamini Luna coin. Na isitoshe hapa nnavyoongea huyo Kwon 'Aloanzisha Luna' alikua anaomba msaada polisi coz watu walivamia nyumba yake juzi na jana wakimshutumu kuwadanganya khs coin alotengeneza.

Ukipewa ushauri khs kuinvest na mtu fln kuwa makini sana coz kasoma summary ya kitabu thn akatengeneza summary yake ndo akatumia hio summary yake kukyshauri

~Peace
Kali Linux
Acheni kudanganywa nyinyi pesa ni ile physical izo nyengine ni utapeli tu huo

ukibisha bisha kwa ukorofi wako lkn huo ndo ukweli
 
Bitcoin ilipiga crash ya 50% watu chalii

Tatizo uchambuzi wa Sasa sio kama enzi zile tunawekeza now wajuaji wengu insteadt kusoma mchezo mzima mtu anasoma tweets za kina sirjeff then anajilipua waty watumie akili Kwa kweli trash coin kibao wabongo mtu akimaliza chuo huko uingereza akianzisha coin hao wananunua na ujinga wao.

Watu wanafuata propaganda kusoma zitweets njaa njaa
 
Sure, yaan hio ya kusema mtu ananunua kisa jamaa fln katweet ndo imesababisha janga hili kwa kiasi kikubwa, watu inabidi kujifunza sheria za mchezo
 
1652544193087.png
 
Back
Top Bottom