CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki ilopita lkn kwa sasa ni takataka(trash coin)

Lakini hizi Crypto zikifanya vyema huwezi kuona mtu anakuja hapa kusema kitu , wacha zifanye vibaya Basi utaona kila sekunde wanafungua thread za kuponda watu. Tuache hizi NEGATIVITY hazitusaidii lolote
Tatizo hamuelewi mnachodeal nacho. Usdterra haiko backed up na real dollar na hio ndo point yangu af ikatumiwa na dev wa Luna kupeg. Mbona doge imepoteza thaman pia lkn wadau wanaiamini bado, etherium, etc... zimepoteza value lkn structure zao inaziruhusu kurecover, kwa nn iwe Luna ndo ipigiwe kelele hadi ifikie founder wake kuvamiwa kwake na investors? Kama hujaelewa hadi hapo basi nmepoteza mda wangu kukuquote na kureply. Hio sio negativity mkuu.
 
BTC ni janga hahaha, niliwekeza huko naliaaa
 
Yule Jamaa yetu wa kule Twitter nadhani ni mmoja wa wale wanaolipwa vile vidorali kutangaza Coin za Magumash
 
Naona umeandika as if kila aliye nunua hiyo coin hakua mtaalam! Je Kuna watu kutoka kampuni ya blackrock walinunua hii je nao sio investors wataalamu?
 
Naona umeandika as if kila aliye nunua hiyo coin hakua mtaalam! Je Kuna watu kutoka kampuni ya blackrock walinunua hii je nao sio investors wataalamu?
Rudia tena kusoma uzi wangu.

Nimeandika Kwa wale ambao walinunua bila kujua Luna ni nini exactly

kama ulinunua luna huku unajua Luna ni nini na inapataje hio stability basi huu uzi haukuhusu coz wengi wa namna hio waliuza Luna mapema kabisa.

Lkn kama ulinunua kisa jamaa fln katweet na hujui utauza lini ili kulock-up profits basi huu uzi ndo unakuhusu.

Note nlosema hapa

So unachosema nmeandika ka vle kla alonunua Luna hakua mtaalam basi upo wrong coz kuna watu wamekula profit balaa kupitia hii crisis coz walielewa Luna ni nini deeply & exactly
 
Una uhakika gani mkuu au unabahatisha

Wewe ni mtaalamu wa investment?

Hamna haja ya kujua kama mm ni mtaalamu au la coz hio haina umuhimu na haitawahusu maisha yenu yote.

Hayo ni mawazo yangu na sio Financial advise kwenu, mentality kama hzo ndo za wale mnao-buy au sell kisa mtu fln kasema coz mnayumbishwa na mawazo ya watu badala ya kuangalia reality inasemaje.

Narudia tena haya ni mawazo yangu na sio financial advice
 
Kwanini hukusema mwanzo umekuja baada ya coins kushuka thamani...

We ni mnafki
Asante mkuu na nakubali kwa logic ulotumia mie kweli ni mnafiki.

Haya tuambie coins nyingine ambayo si nzuri
Ila kwa logic hiohio ulotumia kuniita mie mnafiki basi na wewe ni mnafiki squared coz hukuniuliza hili swali kabla haya hayajatokea.
 

Dahh wabongo tuna shida sana . sasa mkuu badala ya kujibu swali unatoa vijembešŸ˜‚
 
Dahh wabongo tuna shida sana . sasa mkuu badala ya kujibu swali unatoa vijembešŸ˜‚
Unataka kusema comment yako iloleta haya haikuwa kijembe?

Ungeuliza kistaarabu ningekujibu kama nlivyowajibu wengine.
 
Mkuu unadhani hii Coin hadi mwakani itakuwa na thamani kiasi gani?
Ni vigumu kubashiri moja kwa moja kwa usahihi. Lakini kwa kuwa total supply itakuwa ndogo inaweza kutengeneza demand kubwa na hivyo ikauzwa pesa nzuri.
 
Ni vigumu kubashiri moja kwa moja kwa usahihi. Lakini kwa kuwa total supply itakuwa ndogo inaweza kutengeneza demand kubwa na hivyo ikauzwa pesa nzuri.
Poa mkuu maana nafanya ile mining yao tangu waanze jadi sasa ninazo kadhaa, nakomaa nao hadi July
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…