Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Dah! Najuta sanaCrdb huwa ina shida sana! Bora uhamie kwingine tu!
Crypto is not For everybody , though yajayo yanafurahisha.Leo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000.
Pili nilijaribu USSD yao *150*03# bila kuangalia Salio, nikakutwa pia wamekata zaidi ya mara 3.
Yani unakatwa bila ya kutumiwa SMS za Makato, kama ya kwao.
Crypto itakuwa mtetezi baada ya muda kidogo, mtalia na kusaga meno.
Ili anza AI sasa itakuja Crypto kumfilisi mtu
Daaah, hii mbaya mimi 156000, bado sjui ilipo, hao ni matapeliLeo nimeenda CRDB tawini kwao, kwa sababu ya changamoto ya ku-login kwenye app yao ya SimBanking na kupata card. Nikawapa 5000 cash , ila chakushangaza ni baada ya masaa 3 nikiwa mbali na bank yao wakanikata tena 5000.