Cryptocurrency sio Uwekezaji

madogo gani ONTARIO?
 
Hongera sana ila hizo currency walau angetokea mtu aka narrate kuwa zinafanyaje kazi na unanunua wapi na vipi na unapataje faida!
Kinyume na hapo ni biashara ya kuuziana sungura tu!
Hizo hata wewe unaweza tengeneza kama unajua programming halafu unaanza kuipromo huku na kule

Hype inaongezeka maraia unatawashika.

I never trusted cryptos but naendelea kuifatilia kwa makini
 
Hapo ndipo unapokuja utata
Mtoa mada yupo sahihi,

Kama una hela haina kazi unaweza ukanunua coin kadhaa kama tu means ya kuhifadhi hela.

Ila kama una mtaji eti uache kufanya biashara unawezekeza kwenye coin? Hapana unaweza ukalia.

Hio bitcoin yenyewe inashuka tu sasa hivi. Kuna kipindi ilifika zaidi ya milioni 150 sasa hivi ni kama 110M ina maana kama uliweka bilioni 15 zako sasa hivi una Bilioni 11.
 
Hapana.
Inategemea alinunua Ikiwa na value gani. Usi-generalize hii Issue kwani mambo hayaendi hivyo.
 
Umeeleza mule mule ni cryptos zinanipa faida ila zile zinaendeshwa kipropagand mfano hao matajiri wakubwa kuzipa promo kusapot coins mpya vijana wanajaa tu
 
Tatizo hizo pesa zenu za mitandaoni ni kama ghost money! Yani pesa ambayo haishikiki haiko tangible!

Halafu to make shit worse hio pesa imehusishwa sana na cases za utapeli wa baina ya wauzaji na traders!
Ni kweli kabisa umenikumbusha kisa cha TMT kumejaa utapeli mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…