Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
madogo gani ONTARIO?Kikubwa na cha muhimu ni kufanya utafiti kabla ya kuingiza pesa yako sehemu yoyote lakini kwa Tanzania naona watu wengi kazi yao ni kupinga pesa yoyote inayopatikana kwa internet either ni Forex iwe Crypto lakini kuna madogo wapo wanakula zao pesa kwa mtindo huuhuu Anyway kikubwa kila mtu awekeze pesa ake mahali anapenda