Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwa platforms uone who Is gonna buy when price are handsome.Who is going to buy when they are priced high ?
Ukiuza, anaenunua anakulipa USD.Kwahio ukiuza hio coin unatakiwa ukanunue upya kwa bei juu sasa?
Wewe ushazinunua hizo coin ukaona faida?Ukiuza, anaenunua anakulipa USD.
Ambazo unaweza kuamua ku-withdraw au kununua coin nyingine (bidhaa) unayoona itapanda thaman mbeleni.
Nime update comment yangu kaka!Wewe ushazinunua hizo coin ukaona faida?
In short ni kwamba. Cryptos ni bidhaa kama bidhaa zingine. Kuna coin zina fluctuate sana, zingine thaman yake ipo stable.Wewe ushazinunua hizo coin ukaona faida?
Kwa anaenunua za bei chee sana faida atapata Ila ya mara moja kama atauza zote kwa pamoja.Kwahio ukiuza hio coin unatakiwa ukanunue upya kwa bei juu sasa?
Saafi mama. Wape somo vijana hawa wanababaika sana mtaani wakati wengine tunakula tu kuku kimya kimya.Ukiuza, anaenunua anakulipa USD.
Ambazo unaweza kuamua ku-withdraw au kununua coin nyingine (bidhaa) unayoona itapanda thaman mbeleni.
Mfano mimi nilinunuaga coin zenye thamani ya $400 (nilifanya kujaribu tu). Hapo ilikua October 2020.
Sasa hivi sina thamani ya $1250+.
Sijafikiria kuziuza, maana return on investment bado ndogo hapo.
Kifupi kuna mtu ananunua coin za kutosha then wanazi hype ikipanda thamani anauza coin zake then zinaporomoka inakula kwenu.Cryptos na NFTs zinaendeshwa kwa kwa mfumo wa PROMO na FOMO.
Yaani inatengenezwa HYPE kubwa kuhusu Cryptos na NFTs na hivyo watu wengi wakitaka kununua inapanda thamani.
Akitokea mtu mwenye ushawishi akiziponda ZINAPOROMOKA tena.
Yaani hata wewe unaweza kutengeneza Coin yako na ukaanza kuipush.
Na kibaya zaidi wamasema ni Coin lakini wakiziuza wanataka kupewa pesa za kawaida, sasa umajiuliza hizi ni Currency au bidhaa?
Kwahio bitcoin ziko kwenye vipande vingi au maana umesema umenunua btc 11M kisha ukauza 30M zinakuwa kwa wingi?Kwa anaenunua za bei chee sana faida atapata Ila ya mara moja kama atauza zote kwa pamoja.
Ila kama atauza kiasi na kuacha kiasi basi ataendelea kupata faida as long as price Ikiwa Inapanda, Ikishuka ni loss kwake.
Uzuri ni kuwa digital count haibadiliki just thamani ndio Inabadilika.
Kama una 0.5 BTC Itabaki hivyo milele whether price Itapanda or kushuka.
Kwa anayenunua nyingi anapata faida kwa muda wote maana atakua anauza kiasi kwa kiasi.
Check mfano wangu...
March 2020 BTC Ilishuka hadi 11M, nikanunua 1 BTC.
after 3 months Ikapanda hadi 80+M nikauza za 30M. Baadae Ikaja kupanda hadi $64000 nikatoa kiasi.
Kwa muda huu naongea hapa price ya 1 BTC ni 115,467,185/= na bado zipo za kutosha kwa my account.
Bado Etherium nilinunua Ikiwa 3+M kwa navyoongea hapa 1 Etherium ni 9+M
Hapo ndipo unapokuja utataKifupi kuna mtu ananunua coin za kutosha then wanazi hype ikipanda thamani anauza coin zake then zinaporomoka inakula kwenu.
Musk sasa hivi anatapeli watu na Dogecoin,
Hata Hii Bitcoin haiaminiki.
Ukisoma comments zote kuna mahali mtu kaombwa hela zaidi ya kuambiwa fanya research?kuna mtu atapigwa na kitu kizito chenye ncha kali sasa hivi
12,000In short ni kwamba. Cryptos ni bidhaa kama bidhaa zingine. Kuna coin zina fluctuate sana, zingine thaman yake ipo stable.
Sasa unatakiwa ufanye research ujue Coin zipi zina potential ya kupanda thaman ndan ya miezi kadhaa mbele..
Si unaona mimi imenichukua zaidi ya mwaka $400 kupanda hadi $1200? Sikufanya research ya kutosha. Coin nilizonunua kipindi hicho bei yake haijabadilika sana.
Ningejuaga ningenunua SHIB, STELLAR, na BNB.
Hata hivo sijutii saaaana. Maana bado nipo kwenye profit. Sijapata hasara. Vipi kama hiyo $400 ingekaa bank mwaka mzima, ningeambulia gawio la shingapi Extrovert ?
Inavunjika vunjika. Unaeza uza kiasi chochote unachoweza kutegemea na pesa unayohitaji kwa muda huo. Mfano 0.001, 0.3, 0.0009, 0.01 etcKwahio bitcoin ziko kwenye vipande vingi au maana umesema umenunua btc 11M kisha ukauza 30M zinakuwa kwa wingi?
Ahaa basi sio kesi kama zinapanda sema unatakiwa uwe na ziada ya hela tu maana huwezi kaa na njaa miezi tatu unasubiria zipande!Inavunjika vunjika. Unaeza uza 0.001, 0.3, 0.0009, 0.01 etc
Limit ni kile kiasi unacho kwa wallet yako.
Yeeah. Na pia unaeza subiri Ipande then Ikashuka.Ahaa basi sio kesi kama zinapanda sema unatakiwa uwe na ziada ya hela tu maana huwezi kaa na njaa miezi tatu unasubiria zipande!