joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Naendelea kula madini APA
Asante kwa mleta mada
Asante kwa mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na lile unaloliona usiku likiwa lina nyota nyingi, una liitaje?Anga ni uwazi uliopo toka kwenye uso wa dunia kwenda juu, nazani mtoa mada kaeleza vizuri tu,ambayo inatemganisha maji ya chini na juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaona kwenye hiyo mistari kuna MAJI JUU YA ANGA..... Mvua sijakataa ilikuwepo ila ni baada ya gharika maana hakukuwa na mvua wala mawingu kabla ya gharika na hiyo ni kwa mujibu wa biblia
Daudi kwenye zaburi ametofautisha na mistari nimeweka kwenye nyuzi kwamba Mawingu,mvua na MAJI JUU YA ANGA ni vitu viwili tofauti na ndio maana nikafungua uzi humu ili nipate mawazo yenu na hayo majina ni mawili tofauti kwa kiebrania sababu canopy imeitwa ''raqy'ila'' kwa kiebrania ikimaanisha mzingo fulani wa maji unaozunguka Dunia na halitumiki zaidi ya hiyo mistari miwili tu niliyoweka hivyo hakuna possibility kuwa ni mvua au mawingu unless kamusi ya kiebrania imebadilika
Na hata msomi credible wa kiyahudi Flavius Josephus kwenye kitabu cha Antiquities...anathibitisha kwamba kulikuwepo na huo mzingo wa maji hivyo basi kama sio Mvua au mawingu je hayo MAJI JUU YA ANGA ni yapi
Son of Gamba SALA NA KAZI mitale na midimu mpite huku
sijatoa povu mkuu yule jamaa ndo katokwa na povukila mtu anahaki na uhuru wakutoa maoni yake wa na Jamie forum mapovu ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeweka hapo tafsiri ya kiebrania kwamba MAWINGU sio maji kwenye biblia bali maana yake ni AGANO BAADA YA GHARIKA!! Ikimaanisha hilo tunaloita wingu halikuwepo kabla ya gharika unaweza google maana ya anan kwa kiebrania utaona nachosemaNikuulize mvua ni maji ama si maji? Kama ni maji, je hayo maji ya mvua yana patikana wapi?
Hatuwezi kusema mawingu haya kuwepo, ni vema kuwa wa kweli na kusema mawingu haya kutajwa katika mistari ya awali ya Bilblia.
Sayans,i hii akili Mungu aliyo mpa mwanadamu, je yenyewe inatuambia mawingu yalitokana na nini? Na yalianza miaka trillion ngapi huko nyuma?
Ni vizuri kuelewa kuwa Mungu hakutaka kutuambia katika Biblia jinsi alivyo umba mawingu ma hata maji. Amependa kutufunia jinsi alivyo ya gawanya maji katika uumbaji wake.
Mkuu nimeweka hapo tafsiri ya kiebrania kwamba MAWINGU sio maji kwenye biblia bali maana yake ni AGANO BAADA YA GHARIKA!! Ikimaanisha hilo tunaloita wingu halikuwepo kabla ya gharika unaweza google maana ya anan kwa kiebrania utaona nachosema
Pia neno lililotumika kwenye MAJI JUU YA ANGA ni RAQ'IA ikimaanisha kitu kama mzingo wa chuma au SUFURIA hivi kwa kiswahili chetu yaani dunia ilikuwa imezungukwa na kitu mfano wa SUFURIA ama mduara wa chuma flani hivi, hivyo hayo maneno mawili hayana uhusiano kabisa kwa tafsiri hii ya kiebrania.
Hivyo basi tukubali kwamba mawingu na MAJI juu ya anga ni vitu viwili tofauti irrespective mawingu yalikuwepo kabla ya gharika au lah ingawa biblia inasema wazi hayakuwepo kabla ya gharika!!
Hivyo basi tukishakuwa tumegawa haya maneno mawili..... Je hayo maji juu ya anga (ambayo sio mawingu) ni yapi mkuu.
Hapa ndipo mzizi wa swali langu ulipo mkuu
Haya maji ya angani yana kaa katika mfumo gani? Gaseous, liquid au solid/barafu states?
Lakini agano la Mungu na mwanadamu baada ya yatokabayo na gharika ni juavo mimi ni upinde wa mvua katika mawingu.
Hebu nioneshe hiyo mistari ta Biblia inayosema wazi kuwa Mawingu haya kuwepo kabla ya gharika. Upinde wa mvua ndio umetajwa kuwa uliwekwa kwenye mawingu kama alama ya agano
Kama huku muelewa mleta Mada Soma hapa alicho maanisha ;
Mwanzo 1
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
Mstari huu unaeleza kuwa kulikuwa na maji juu ya anga na chini ya anga hivyo nikajiuliza sana hayo maji ya JUU ni yapi?? Kwa haraka nikafikiri ni mawingu ila muandishi wa zaburi akapigia msumari kuwa ni vitu viwili tofauti
Zaburi 148:4
4 Msifuni, enyi mbingu za mbingu,Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.
5 Na vilisifu jina la BWANA,Kwa maana aliamuru, vikaumbwa.
Hapa kaweka wazi kuwa kuna maji juu ya dunia na hapa chini kaonyesha ni tofauti kabisa na mawingu tunayofahamu
Zaburi 147:8
Huzifunika mbingu kwa mawingu,Huitengenezea nchi mvua, Na kuyameesha majani milimani
Mstari huu hapa ndio mawingu ndio yanatajwa kwa mara ya kwanzaHaya maji ya angani yana kaa katika mfumo gani? Gaseous, liquid au solid/barafu states?
Lakini agano la Mungu na mwanadamu baada ya yatokabayo na gharika ni juavo mimi ni upinde wa mvua katika mawingu.
Hebu nioneshe hiyo mistari ta Biblia inayosema wazi kuwa Mawingu haya kuwepo kabla ya gharika. Upinde wa mvua ndio umetajwa kuwa uliwekwa kwenye mawingu kama alama ya agano.
Mstari huu hapa ndio mawingu ndio yanatajwa kwa mara ya kwanza
Mwanzo 9
14 Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni
Alafu nilichosema sio mawazo yangu bali ni biblia ya kiebrania neno liliotumika ni ANAN ambalo maana yake ni ISHARA YA MAKUBALIANO FULANI ikimaanisha mawingu na upinde wake yamekuja baada ya gharika......
Lakini vilevile Kama mawingu na maji ya JUU YA ANGA yangekuwa kitu kimoja daudi angetumia neno moja je kwanini atumie RAQIA na kwingine atumie ANAN??? Ambayo ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti, moja agano jingine uzingo wa chuma???
Embu tuache kutafsiri mawingu kwa tujuavyo kwa kiswahili ila tujikite kwenye lugha yake halisi ya kiebrania je kwa mtazamo wako hayo maneno yanakaribiana?? Na kama ni moja kwanini basi biblia itenganishe maana zake kwenye zaburi ingawa mwandishi ni mmoja
View attachment 850449
1.Mvua ni zao la mawingu so ni kitu kimoja hivyo mvua ni maji maana particle za maji zinazo tengeneza mvua ndio zinatunzwa kwenye winguUsinifanye busy for nothing.
Kuna mvua, kuna mawingu, nimesema ni vitu viwili tofauti vilivyoko angani/mbinguni.
Nikauliza, naomba ni jibu sasa usije kiujumla bila kujibu haya maswali tafadhali, mvua ni maji si maji? Inatoka angani au haitoki angani? Pia ni jibu mvua ikiwa angani iko katika state gani maji au barafu hapa ni jibu kwa kutumia sayansi?
Mkuu shida ya biblia ipo kwenye utafsiri hapa ndipo maana huwa zinachezewa hivyo ili iwe safe side inatakiwa usome maneno ya kiebrania ndio utohoe maana yake ila usitumie biblia ya English au kiswahili kama Reference lazima uchemke mfano biblia kuna wanyama wanaitwa majina tofauti kabisa ila biblia ya kiswahili wanaitwa mamba,farasi,nyoka wakati kiebrania ni wanyama wengine kabisa so sio reliable kabisa ndio maana nimeweka maneno ya kiebrania ili tupate lugha aliotumia musaHii Kiebrania na vya aina hiyo havisaidii lolote.
Khalafu Singasinga na Ruge wako ndani, wewe umekutana nao wapi?
Mkuu usiilishe maneno biblia..... Hapo nimekuwekea uchambuzi wa tafsiri ya neno MAWINGU lililotumika kwenye mwanzo 9 sasa sifahamu kama umesoma au lah wamesema WINGU (sio upinde) ni ANAN ambalo inamaanisha ALAMA YA MAKUBALIANO (uangalizi wa makubaliano) nanukuuMWANZO 9:12 As a sign of this everlasting convenant which I am making with you and with all living beings,
13. I am putting my bow in the clouds,....
Hapa ina maana Mungu alikuwa anao upinde wake tayari na mawingu yalikuwepo hivyo akauweka huo upinde wake kwenye mawingu kama agano.
1.Mvua ni zao la mawingu so ni kitu kimoja hivyo mvua ni maji maana particle za maji zinazo tengeneza mvua ndio zinatunzwa kwenye wingu
2. Mawingu ni mixture ya zote solid liquid na gas yaani yanapotoka ardhini kama evaporation yanakuwa mfumo wa GAS na yakisettle angani yanakuwa LIQUID ila ilioshikiliwa na element zingine angani kma vumbi za upepo au barafu alafu zinaposhikamana zinakuwa SOLID kabisa ndio eventually zinakuwa LIQUIDATED kama mvua inayoshuka.
3. Ni kweli mvua na mawingu yapo ANGANI maana mfumo mzima wa mvua unatunzwa angani
Mkuu shida ya biblia ipo kwenye utafsiri hapa ndipo maana huwa zinachezewa hivyo ili iwe safe side inatakiwa usome maneno ya kiebrania ndio utohoe maana yake ila usitumie biblia ya English au kiswahili kama Reference lazima uchemke mfano biblia kuna wanyama wanaitwa majina tofauti kabisa ila biblia ya kiswahili wanaitwa mamba,farasi,nyoka wakati kiebrania ni wanyama wengine kabisa so sio reliable kabisa ndio maana nimeweka maneno ya kiebrania ili tupate lugha aliotumia musa
Hivyo basi kwa maelezo ya post ya juu hapo unaweza niambia kama MAWINGU ni sawa na maji ya JUU YA ANGA kwanini daudi ayataje tofauti kabisa asitumie neno moja kwanini mawingu ayaite ALAMA YA MAKUBALIANO alafu MAJI JUU YA ANGA ayaite MZINGO WA CHUMA??
Mkuu usiilishe maneno biblia..... Hapo nimekuwekea uchambuzi wa tafsiri ya neno MAWINGU lililotumika kwenye mwanzo 9 sasa sifahamu kama umesoma au lah wamesema WINGU (sio upinde) ni ANAN ambalo inamaanisha ALAMA YA MAKUBALIANO (uangalizi wa makubaliano) nanukuu
The word 'anan literally means to observe or that which speaks of a time
Ikimaanisha mawingu nayo yalikuja baada ya gharika?? Anyway hata kama mawingu yangekuwepo kabla ya gharika yameitwa jina jingine ila MAJI JUU YA ANGA yana jina jingine je unaweza nisaidia kwanini yametofautishwa tena na mwandishi mmoja??
Natamani nikujibuNisaidie kwa nini tunasema yako mawingu ya mvua na mawingu yasiyo ya mvua?
Na kwa nini hiyo solid state ya anga au mawingu isiwe ndio hiyo cannopy iliyo tajwa kiembrania?
Unatumia kigezo gani kuto tofautisha upinde wa mvua na mawingu?
Nini kinachokufanya ujihakikishie kuwa mvua na mawingu vilianza wakati wa gharika ya Nuhu? Kumbuka katika uumbaji Mungu alitenga maji na kupata ya angani na yaliyo katika nchi chini ya anga? Lakini tunambiwa pia kuwa Mungu alifanya ardhi ikawa na unyevu ikachipusha mimea. Huo unyevu ulitokana na maji ya angani au ya chini ya anga? Ndio tunarudi kule kule yako mambo ambayo Mungu kwa utashi wake hakutaka kutufunulia.