kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Simba Ya Tanzania na RS Berkane ya Morocco ndizo timu pekee zilizofanikiwa kutinga hatua ya Fainali za CAF CC.
Cha kukumbuka hapa ni kuwa CS Constantine ilikuwa kundi Moja na Simba. Kundi hilo lilitoa timu mbili kwenda robo, pia timu mbili hizo zikatinga hatua ya nusu Jambo linaloashiria kuwa kundi hilo ndilo lililokuwa kundi dume.
Yote Kwa Yote tuendelee kuungana kama watanzania kuiombea Simba sports club iendelee kutuwakilisha vyema. Uzalendo Kwanza.!