kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Kweli kabisaSimba anaweza akachukua kombe mbele ya Berkane
Hata Berkane na Stellenbosch walikua kundi Moja wakacheza robo na kufika nusu,kwa hiyo hakuna kipya Cha ajab
Simba tunachukua kombe kimasihara wallahi.Vipi berkane ni kibonde au kigogo.
Mkiwapokea msiwaibie simu zao.Kila la heri RS Berkane. Sijawahi kuwa mzalendo mimi kwenye mambo ya kipuuzi.
Kila la heri RS Berkane. Sijawahi kuwa mzalendo mimi kwenye mambo ya kipuuzi.
Hakuna kitu kama hicho uzalendo wa nyokoHatare., We sio mnaijeria kweli?
Uzalendo Kwanza... Jishikilie ndugu..
Ubingwa CAF sio Jambo la kipuuzi.
Kuna burudani ujue sio kila wakati hasira tu.ππKila la heri RS Berkane. Sijawahi kuwa mzalendo mimi kwenye mambo ya kipuuzi.
Uzalendo kwanza uanzie kwa Simba, si ndio eeSimba Ya Tanzania na RS Berkane ya Morocco ndizo timu pekee zilizofanikiwa kutinga hatua ya Fainali za CAF CC.
Cha kukumbuka hapa ni kuwa CS Constantine ilikuwa kundi Moja na Simba. Kundi hilo lilitoa timu mbili kwenda robo, pia timu mbili hizo zikatinga hatua ya nusu Jambo linaloashiria kuwa kundi hilo ndilo lililokuwa kundi dume.
Yote Kwa Yote tuendelee kuungana kama watanzania kuiombea Simba sports club iendelee kutuwakilisha vyema. Uzalendo Kwanza.!
Meza mate ufe basi kama unawezaHakuna kitu kama hicho uzalendo wa nyoko
AmeeenSimba anaweza akachukua kombe mbele ya Berkane
πππππMkiwapokea msiwaibie simu zao.
Ndo maana Manara alisema Yanga wenye akili ni wawili tu, sasa nimeanza kuamini.Sema Wanayanga wenzangu inabidi ifike mahali tuunganishe nguvu zetu sote tuisapoti RS Berkane.
Hii michezo ilitakiwa kuwa burudani na utani ila Oya Oya type yako na huyo so called Manara ambao shingo zenu zimebeba fenesi badala ya kichwa mnachukulia serious.Ndo maana Manara alisema Yanga wenye akili ni wawili tu, sasa nimeanza kuamini.
Vilaza mmejaa
Ukamatwe na urudishwe Burundi..Kila la heri RS Berkane. Sijawahi kuwa mzalendo mimi kwenye mambo ya kipuuzi.