Csee 2012

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
 
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449


Ujumbe ndo huo
 
kimya mpaka sasa jamani, wengine matumbo ya kuharisha tayari jamani.
 
Mbona watu waongo wanasema matokeo yashatoka mbona hatuyaoni mwenye link ya kuyapata atujulishe
 
Inasemekana matokeo wanamalizia kuyaingiza kwenye mtandao,kwa hyo anytime kuanzia sasa yanaweza kuwekwa hewan kwa hyo msichoke kuchungulia National examination council of Tanzania(NECTA) MUDA WOTE! Asanten sana
 
Hebu tulieni! Mbona mmekuwa na mchecheto sana! Kama uliboronga!tulizana! Maisha yapo baada ya pepa!
 
website inayotoa taarifa ya matokeo si ya necta ila ni ya mzugaji mmoja mkuda saana anayetaka kuwaweka roho juu watanzania ila ukweli ni kwamba matokeo yatakuwa tayari mpaka yatakapokuwa yametangazwa na katibu wake au yeyote mhusika kutoka baraza la mitihani. acheni kusikiliza redio mbao za mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…