Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
[h=5]National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A)
[/h][h=5]Mambo yakienda vizuri kama tulivyopanga, matokeo tutayatoa kesho. Kwa kudokezea ni kwamba wasichana wameng'ara sana kwenye mitihani ya mwaka 2012.
Tuombe Mungu kila kitu kiende kama tulivyopanga.
[/h]
Mbona watu waongo wanasema matokeo yashatoka mbona hatuyaoni mwenye link ya kuyapata atujulishe
Mtoa tropic hamu yako wengi wanayo lakini Please waiting.........
mwee!!!!
Bora yatoke mrudi shuleni tu!!!
Mtoa tropic hamu yako wengi wanayo lakini Please waiting.........
Wadau mmesikia atakaye tangaza matokeo yenu ni rostam azizi ndo mana hawayatangazi huuu