Csee 2012

Inasemekana kesho mulugo ndio atatangaza rasmi kuwa pepa inatakiwa irudiwe
 
Matokeo ni kesho wakat wanatangaza kuanza kwa mtian wa 4m .6 hapohapo na matokeo ya kidato cha nne
 
Inasemekana matokeo wanamalizia kuyaingiza kwenye mtandao,kwa hyo anytime kuanzia sasa yanaweza kuwekwa hewan kwa hyo msichoke kuchungulia National examination council of Tanzania(NECTA) MUDA WOTE! Asanten sana
Mbona mpaka sasa jamani kimya hawa necta vipi, wanatupa BP sisi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…