The Son
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 459
- 58
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ni kesho wakat wanatangaza kuanza kwa mtian wa 4m .6 hapohapo na matokeo ya kidato cha nne
SAMAHANI WADAU MATOKEO YAKITOKA BASI ATAKAYE WAHI TUFAHAMISHANE KAMA YAMETOKA ILI NIFANYE MCHAKATO WA KUYAFAHAMU. Maana Wengine tuko INTERIOR. Ni kwa namba hii 0763631449
Mbona mpaka sasa jamani kimya hawa necta vipi, wanatupa BP sisi jamaniInasemekana matokeo wanamalizia kuyaingiza kwenye mtandao,kwa hyo anytime kuanzia sasa yanaweza kuwekwa hewan kwa hyo msichoke kuchungulia National examination council of Tanzania(NECTA) MUDA WOTE! Asanten sana
Blaros kida said:Mtoa tropic hamu yako wengi wanayo lakini Please
waiting.........
mwee!!!!
Bora yatoke mrudi shuleni tu!!!
acheni mcheche tokeo litatoka muda si mrefu kutoka hivi sasa