Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A: 75-100, B+:60-74, B:50-59, C:40-49, D:30-39, E:20-29 na F:0-19 kwa sasa
A:80-100, B:65-79, C:50-64, D:35-49 na F: 0-34 kwa zamani
Sasa inakuaje upangaji Mf. Kuna kijana kapata A moja, B sita, na C tatu lakini wameonesha kapata Div II points 19 naomba mnyumbuliko kwa anaefahamu.
Mimi nimebaki kimya maana wanatuona sisi wajinga wakati walishatuelimisha tukaelimika,tunakoelekea hadi wataweka G na H.Kinacho nishangaza kuna watu wana points 41 wana div 0 na kuna wengine wana points 44 wana div 4 yaani hapo ndio nilipo pigwa bumbuwazi
Sasa inakuaje upangaji Mf. Kuna kijana kapata A moja, B sita, na C tatu lakini wameonesha kapata Div II points 19 naomba mnyumbuliko kwa anaefahamu.
Kinacho nishangaza kuna watu wana points 41 wana div 0 na kuna wengine wana points 44 wana div 4 yaani hapo ndio nilipo pigwa bumbuwazi
Hapo kwenye red mkuu zama zetu ilikuwa hivi A:81-100 na B:61-79, C:41-60, D:21-40 na F:0-20