CSFP Fellowship kwa East and central Africa

sirmudy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
386
Reaction score
119
Wadau scholarship hizo kwa Master na Phd , na east Africa tumo ktk mgao huo wa fungu, ila kwa tanzania, representative ni wizara ya elimu.....ss sijui kama tukiomba ss ambao hatuna wajomba huko wizarani sijui itakuwaje? unaweza ukaenda kuulizia ukaaambiwa kuwa hizo habari hazipo.......

Mwenye Ancle wake wizara ya elimu amuulizie.......! ila mm nitajaribu na wakinimwaga nitawapasua ktk forum, coz nina sifa zote na pia ni first class holder....!


Link hizi hapa wadau

Commonwealth Scholarship and Fellowship Plan for the Academic Year 2011-12 : Scholarships for College Students, PhD Scholarships, International Scholarships 2011 Fellowships Loans

Na nyingine hii

http://www.moed.bm/Documents/Commonwealth Scholarship Plan ad for Other Countries.pdf
 

tuna shukulu ila hapo kwenye red ungesema tu nina sifa zote ingetosha kaka, by the way ngoja tu chek tuone inakuaje na mi nitajaribu, thanks
 
ningependa kujua kaka....hizi form tunatuma wizara ya elimu ya bongo au tunatuma kwenye chuo husika!!!!!!
 
RED:ukiandikacho hakifananai ya hiyo misifa unayojipa... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…