Kwa pressha ya wagonjwa Mashine tangu iwe installed inapiga kazi 24/7! No breather!
Weka logic hapo.
jee ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kutoa sh 100 000?
apo...
nipo katika icho kitengo cha msamaha na wanarudi wengi tu kufia home,
bado tuna mwendo mrefu sana ktk huduma za afya Tanzania
Wote. Kama hana si anatembeza bakuli la mchango. Au sisi ni mahodari wa kutembeza kadi za michango ya harusi na sherehe tu? Kwa wagonjwa hatuna mpango?
Wagonjwa wasiojiweza tuwachangie kwanza kuliko harusi na sherehe.
Then you are part of the problem, involved actively in the failing system.
Kwa nini usitoe msamaha kwa mtu ambaye genuinely cant raise that amount required? Au unahitaji kulipwa ili utoe msamaha?
Sidhani kama mgonjwa aliyepewa ID/muhuri/etc ya msamaha wa kufanya CT/MRI scan atarudishwa na Technician kwa sababu hajalipa. Kwenye risiti yake itasomeka exemption, na MRI belongs to a Hospital kwa nini arudi kufia nyumbani kwa tatizo linalotibika.
Muhimbili yapunguza gharama za vipimo
Hili punguzo limeleta nafuu kubwa kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Muhimbili na MOI
Thank you mkuu.... hap hatujasema gharama za kuleta technicians, maintenance repair and operations hapo hujasema risks za umeme, technicians incompetencies nkjamani wana jf tusilaumu kuhusu bei ya ct na mri.....ughaibuni (usa) mri ni $2000 --3500 inategemea na kipimo .cha msingi tu ni serikali kuboresha maisha na kufanya vitu kama bima ya afya iwe kwa kila mtu ,kwa mfano michango ya kila mwezi ya wafanyakazi ni mara elfu moja ya wafanyakazi wanaoumwa.ni sawa na kuchangia kujaza pipa lkn wachache wanachota tunacho jaza hivyo inawezekana kusaidia kila mtu kwa michango ya wafanyakazi.hiyo mashine maintenance yake ni balaa...kuna vitu vinaitwa coils ambavyo vinavyalishwa kwa mgonjwa ni consumable bei yake inafikia usd 35,000 kwa hivyo tusije tukabweteka mwisho wa siku mashine ikafafa tukarudi kule kule ----nenda nairobi au agha khan.Bado kuna vitu kama CRYOGEN (helium gas) nafikiri kujaza ktk hiyo mashine inafikia milion 300 kwa miaka miwili lazima kujaza.uangalizi wa mashine hii ni kama ulinzi wa benk kwani mashine inahitaji temp.65*f----75*f na humidity 50%----70% na bongo yetu ku-maintain hiyo hali ni issue
vapor!!!😛ound:Duhhh...if thats true then it will be poor in (accuracy diagnosis) images, kwahiyo kweli kwa logic hapo One Kilo inatosha
Thank you mkuu.... hap hatujasema gharama za kuleta technicians, maintenance repair and operations hapo hujasema risks za umeme, technicians incompetencies nk
the cost ya MRI can be as high as possible... but it should be made affordable kwa wote kupitia mifuko ya jamii, sera ya kusaidia maskini, charities nk
Hii yote ni changamoto ya tiba nafuu kutoka kwa Babu!