Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
wenye Dola yao. USA wenyewe hata hawahangaiki na hizo futuhi. wanajua ni ngoma za watoto. hazikeshi. wao wanajua tukigusa apa tukigusa pale. shughuli kwisha.
unataka kuiangusha dola wakati. 70% ya uchumi wako ni uwekezaji wa makampuni toka nje.
wakisema waondoe 10% ya makampuni yao. basi kwisha abari yako.
PuTin alitaka kuweka ptro Rubble ikamshinda.
ikabidi na yeye ahangaike kuibust Yuan. lakin wapi.
ukweli Mchungu.
USA ndio taifa pekee linalo weza kuchagua nani awe tajiri na nani awe kapuku na awe kapuku kwa mda gani.
venezuela wanamjua vizur sana.