CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

Joined
Jun 29, 2021
Posts
3
Reaction score
1
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI


Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni.

Programu hiyo itafanyika katika majimbo mawili ya wilaya ya kinondoni ambayo ni Jimbo la KINONDONI na Jimbo la KAWE katika kila KATA.

Pia, Mjumbe wa Baraza kuu CUF amesisitiza tutafanya show road na tutapandisha bendera na wao polisi kama wanaweza kutuzuia basi tunataka watuzuie.

Pia, mjumbe wa baraza kuu amesema anasubiri tu kamati tendaji ya wilaya ya kinondoni ikae Kisha impe ratiba nzima ya programu ya upandishaji wa bendera na kazi ianze Mara moja.

Ratiba rasmi ya programu itawekwa hapa hivi punde.

Kinondoni Itajengwa na Wana kinondoni

IMG_20210704_131714_976.jpg
 
Wasaliti wengine hawa kama wale act wasaliti.
 
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI
Mizania imelalia wapi, huku vuguvugu la katiba mpya wengine kupandisha bendera kwenye ofisi ya tawi
 
Bado hatujamsikia Mwanaharakati huru
 
Kwenye mfumo wa serikali kuna wasebuleni na wachumbani?

Kama naona umuhimu wakatiba wakujiona huyu bora kuliko mwingine.

Shaka anadharau kiasi hiki.Rais mwinyi anajenga huku Shaka anabomoa.

Shaka wewe siyo hadhi yakujibu mapigo ya Rais kwa mjibu wa katiba ya Zanzibar
 
Hapa sijaelewa, bendera gani tena au yakudai KATBA MPYA?
 
Back
Top Bottom