Tetesi: CUF Bara kugomea mkutano wa Tanga

Hatuna kitu kama CUF bara.! CUF yetu ni moja tu.! Huyo profesa msaliti lazima atang'oka tu hata atumikeje!
 
Lipumba hadi leo anaendelea kulipwa mshahara waķe wa mwenyekiti wa CUF. Haujawahi kùsitishwa. Mtatiro naye anaeñdelea kulipwa mshahara waké wa cheo chake cha zamani na sìyo cha mwenýekiti.

Muache kutuchanganya. Tusubiri hukumu za mahakama maana suala taýari liko mahakamani.
 
Maalim Seif ndio CUF na CUF ndio Maalim Seif. Huyo Profesa wenu mpelekeni Lumumba akamwagilie maua. Hana nafasi tena kwenye CUF.
Sasa kaoana na sakaya wanafanyia mapenzi ofisini buguruni pro-pesa njaa imemfanya achepuke na mke wa mtu bila kinga
 
Sema CUF Lipumba na siyo CUF Bara ambapo wengi hawaungi mkono ujinga wa PROPESA. Kwani huko Tanga kulikoitishwa kikao tangu lini kumekuwa visiwani!?
Pro-pesa a.k.a profeselii wa olijino comedy sasa linawinda luzuku wagawane na Msajili na Madalali wa siasa waliofanikisha Dili lote
 
Reactions: BAK
Mkutano wa wilaya unaitishwa na mwenyekiti wa kitaifa?

Acheni mambo ya hovyohovyo
 
Hivi kweli bwana Yule Na watu wake wamechanganyikiwa kweli kweli yaani hata mkutano Wa mkoa Wa chama unataka uitishwe Na wewe alafu sakaya Na kambaya Na lipumba ndio Cuf bara au lipumba huu ndio mwisho wako Wa kisiasa wewe shukuru tu unaisha mwisho Wa fedheha Na kudharauliwa yote haya ni kwa sababu ya usaliti
 
Nikiangalia umri wa hawa watu na mambo wanayoyafanya wala haviendani kabisa!
 
Hivi huyo scorpion mng'oa macho si angemshughulikia huyo prof.wa Buguruni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…