CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Dec 24, 2020 #1 CUF-CHAMA CHA WANANCHI HERI YA KRISSMASI NA MWAKA MPYA 2021
M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,016 Reaction score 16,813 Dec 24, 2020 #2 Nadhani wangekuja na Taarifa ya Kutuomba Radhi Watanzania tuliokuwa tukiwaamini na Wametusaliti kidogo tungewaelewa, ila siyo hii ya sasa.
Nadhani wangekuja na Taarifa ya Kutuomba Radhi Watanzania tuliokuwa tukiwaamini na Wametusaliti kidogo tungewaelewa, ila siyo hii ya sasa.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Dec 24, 2020 #3 Shukrani sana Mkuu. MAENDELEO HAYANA CHAMA (DEVELOPMENT HAS NO PARTY).
kichwa kikubwa JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 2,273 Reaction score 1,710 Dec 24, 2020 #4 Xmass????
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Dec 24, 2020 #5 Hawa CUF ndio lile shirikisho la mpira wa miguu barani Africa au? Hawa ni wahuni tu asa XMASS ndo nini?
Hawa CUF ndio lile shirikisho la mpira wa miguu barani Africa au? Hawa ni wahuni tu asa XMASS ndo nini?
Irenga JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 3,287 Reaction score 2,560 Dec 24, 2020 #6 Ahsante nawe kheri ya Krismasi na Mwaka mpya 2021.
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Dec 25, 2020 #7 Asante heri nao pia
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Dec 25, 2020 #8 Xmass ndio kitu gani mkuu
Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,380 Reaction score 2,576 Dec 25, 2020 #9 Mr Q said: Xmass ndio kitu gani mkuu Click to expand... Naona wana utani.
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,073 Reaction score 6,909 Dec 25, 2020 #10 Nyie CUF, Xmass ni mdufu gani? Hivi hii acount ya Rasmi yachama kweli?
K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,747 Reaction score 998 Dec 25, 2020 #11 Asanteni saanaaaa. Na nyie tunawatakia Christmas njema. Karibuni nyumbani nimechinja kitimoto.
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,941 Reaction score 2,088 Dec 25, 2020 #12 Perfectz said: Hawa CUF ndio lile shirikisho la mpira wa miguu barani amAfrica au?? Click to expand... 😂😂
Perfectz said: Hawa CUF ndio lile shirikisho la mpira wa miguu barani amAfrica au?? Click to expand... 😂😂
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,828 Reaction score 5,969 Dec 25, 2020 #13 Hahaaaa parts said: [emoji23][emoji23] Click to expand...
C chikambabatu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,382 Reaction score 1,349 Dec 25, 2020 #14 Ukisikia utoto ndio huu! Mnatafuta watu waseme mkijuwa mmewaudhi!
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,835 Reaction score 8,703 Dec 25, 2020 #15 La'generale Kishimbe wa Kishimbe (a.k.a NTULIJA WA BHATULIJA) nawatakia HERI YA MWAKA MUPYA!