tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kwa LipumbaHivi Hawa pesa za kufanya vikao wanapata wapi?
Hili lizee na uprofesa wake wa kazi bure lingejifia tu kuliko kuendelea kuwa mzigo mzito kwa mabadiliko.Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na kukwamisha kikao cha Baraza Kuu la Uongozi.
View attachment 3436082
Soma pia: CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichofanyika Agosti 8,2025, amewataja wagombea wa urais wa Tanzania Bara ni Nkunyuntila Siwale na Gombo Samandito, wakati upande wa Zanzibar ni Mhandisi Habib Mohamed Mnyaa, Mhandisi Hamad Masoud Hamad na Dk. Mohamed Khatib Mikidadi. Majina hayo yatapigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu Maalum utakaofanyika Agosti 9, 2025.
Prof. Lipumba amesema wanachama saba waliotajwa kuongoza vurugu na kupinga kusaini mahudhurio wamefukuzwa uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CUF. Waliofukuzwa ni Dauda Hassan Kasigwa, Yasin Mrotwa, Abdallah Dadi Ubwa, Faki Suleiman Mohamed, Rashid Ali Hamad, Mohammed Nassor Hamad na Yusuf Ali Mussa.
Amesisitiza kuwa chama kimejipanga kushinda uchaguzi mkuu na kushughulikia changamoto za uchumi, ajira, gharama za maisha na ufisadi.
Chanzo: Nipashe digital
Ntunyuntila ni ni jina la kirundiiiπππChama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na kukwamisha kikao cha Baraza Kuu la Uongozi.
View attachment 3436082
Soma pia: CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichofanyika Agosti 8,2025, amewataja wagombea wa urais wa Tanzania Bara ni Nkunyuntila Siwale na Gombo Samandito, wakati upande wa Zanzibar ni Mhandisi Habib Mohamed Mnyaa, Mhandisi Hamad Masoud Hamad na Dk. Mohamed Khatib Mikidadi. Majina hayo yatapigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu Maalum utakaofanyika Agosti 9, 2025.
Prof. Lipumba amesema wanachama saba waliotajwa kuongoza vurugu na kupinga kusaini mahudhurio wamefukuzwa uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CUF. Waliofukuzwa ni Dauda Hassan Kasigwa, Yasin Mrotwa, Abdallah Dadi Ubwa, Faki Suleiman Mohamed, Rashid Ali Hamad, Mohammed Nassor Hamad na Yusuf Ali Mussa.
Amesisitiza kuwa chama kimejipanga kushinda uchaguzi mkuu na kushughulikia changamoto za uchumi, ajira, gharama za maisha na ufisadi.
Chanzo: Nipashe digital
Kinyamwanga kutoka Mkoa wa Songwe.Ntunyuntila ni ni jina la kirundiiiπππ
Hili lizee na uprofesa wake wa kazi bure lingejifia tu kuliko kuendelea kuwa mzigo mzito kwa mabadiliko.
Niliwai kusoma na mtu anaitwa ntuntufyee majina haya ni balaaaKinyamwanga kutoka Mkoa wa Songwe.
Omba radhii hujui heshima/ maalifa /akili na hata fikra za G.SamWewe unafikiri unafaida kuliko Lipumba? Wewe ambaye hata kijijini kwenu hawakujui? Ujawahi kushika hata milion 1 kwa pamoja? π
Kwa nini?Niliwai kusoma na mtu anaitwa ntuntufyee majina haya ni balaaa
Mtu anaitwa TINGINYA INGWINA πKwa nini?
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ πHii ni kama kumtazama Mr Bean
Acha kabisa ndugu, kujiajiri ni shughuli sana, ukiona mtu kajiajiri mpe shkamoo, hata wale wamama na wote wanaofanya biashara ndogo ndogo wanatisha kuliko wanasiasa aisee.Kujiajiri ni karama jamaniii!!!!!
Hawa wanafukuzana kwasababu hawana ajira nyingine zaidi ya kutegemea ruzuku