GE2025 CUF kimeshanuka, wafukuza wanachama 7 na kumpitisha mgombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acha kabisa ndugu, kujiajiri ni shughuli sana, ukiona mtu kajiajiri mpe shkamoo, hata wale wamama na wote wanaofanya biashara ndogo ndogo wanatisha kuliko wanasiasa aisee.

Mie siku moja kijana wa TRA eti ananifanyia assessment ile ya provisional Tax eti TZS 7,000,000.00 kila quoter eti kwa kaduka kangu ka spare,

Nilimwambia aje athamanishe mzigo uliopo dukani , nitampa mtajia wa thamani ya stock yangu na kumlipia rent nione kama atatoboa na kulipa TAX ya TZS 28,000,000.00 kwa mwaka because tax will be calculated on income
Akasemajee
 
VICHEKESHO KWELI KWELI
KWAHIYO WAGOMBEA URAIS NI
1.SAMIA SULUHU HASSAN -CCM
2. MPINA- ACT
3. SALUM MWALIMU -CHAKUMA
4.NKUNYUTILA SIWALE - CUF

WOTE HAKUNA MWENYE MVUTO
OE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA

NO REFORMS NO ELECTION
 
Hahahaha 😆😆😆😆😆
Mwaka juzi niliambiwa na hao TRA Nianze kutumia mashine ya EFD kwasababu ninauza mauzo ya kuanzia Tsh 30,000 , hawa wajinga sijui wanachukuliaje watu nilenda makao pale station nikakuta watu kibao wameenda kulalamika.
Ukiona MTU anaendesha biashara muheshimu tu
 
Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na kukwamisha kikao cha Baraza Kuu la Uongozi.

View attachment 3436082

Soma pia: CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama kilichofanyika Agosti 8,2025, amewataja wagombea wa urais wa Tanzania Bara ni Nkunyuntila Siwale na Gombo Samandito, wakati upande wa Zanzibar ni Mhandisi Habib Mohamed Mnyaa, Mhandisi Hamad Masoud Hamad na Dk. Mohamed Khatib Mikidadi. Majina hayo yatapigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu Maalum utakaofanyika Agosti 9, 2025.

Prof. Lipumba amesema wanachama saba waliotajwa kuongoza vurugu na kupinga kusaini mahudhurio wamefukuzwa uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CUF. Waliofukuzwa ni Dauda Hassan Kasigwa, Yasin Mrotwa, Abdallah Dadi Ubwa, Faki Suleiman Mohamed, Rashid Ali Hamad, Mohammed Nassor Hamad na Yusuf Ali Mussa.

Amesisitiza kuwa chama kimejipanga kushinda uchaguzi mkuu na kushughulikia changamoto za uchumi, ajira, gharama za maisha na ufisadi.

Chanzo: Nipashe digital
Haahaaa
 
Duh habib mnyaa yupo??? Hakuna mtu msaliti kama yule Bwana. Mungu anajua
 
Kwani CUF ni chama cha kidini? Maana naona wanachama wote ni kobazi
 
VICHEKESHO KWELI KWELI
KWAHIYO WAGOMBEA URAIS NI
1.SAMIA SULUHU HASSAN -CCM
2. MPINA- ACT
3. SALUM MWALIMU -CHAKUMA
4.NKUNYUTILA SIWALE - CUF

WOTE HAKUNA MWENYE MVUTO
OE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA

NO REFORMS NO ELECTION
Huu ni utani mbaya sana. So Rais wa Tanzania atakuwa mmojawapo wa hawa watu 😳
 
Back
Top Bottom