Elections 2015 CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima! Vinginevyo, huo ndio mwisho wake


Afadhali wewe umeliona hilo eti chama kisiposhiriki uchaguzi kinakufa, Pasco ni wewe au kuna mtu kakusaidia kuandika leo?
 
Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!.

Pasco

Hata kama unatoa ushauri sidhani kama unahaki ya kumalizia kama ulivomalizia eti "Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote!." Huu ni upunguani wa fikra. Zanzibar ilikua dola yenye silka na tamaduni zake kujidai kuropokwa maneno eti CUF walimtia vidole machoni JK kwa kuwachia kufanya mabadiliko ya katiba mwaka 2010 inatupa imani na kututhibitishia CHUKI ULIZONAZO DHIDI YA ZANZIBAR na watu wake. Kamwe Zanzibar haitakua Kilimanjaro au Mwanza! ilikua nchi, bado ni nchi na itaendelea kuwa nchi, japo watu kam wewe unojiita pasco unaonesha CHUKI NA NYOYO ZA FITNA KWA ZANZIBAR, INSHAAALAH ipo siku historia itajirudia. Kumbukeni hata Mwingereza ametawala Dunia kwa karne na karne lakini yako wapi! YAGUJU, CHUKI ZENU WATANGANYIKA JUU YA ZANZIBAR IPO SIKU SITAKWISHA HATA KAMA NI BAADA YA KARNE, ZANZIBAR IPO SIKU ITAKWAMUKA TU.
 
Njaa ni kitu hatari sana ! yaani pasco unajidhalilisha kwa kiwango hiki ! kwa bei gani uliyolipwa ? huwezi kufuta cuf kwa kusimika wabunge wa uongo pemba , yalitokea haya siku za nyuma .
Mkuu ni kweli nami nashindwa kujua huyu jamaa kwanini ameamua kujivunjia heshima kiasi hiki,ni mjinga na lofa tu atakaye muunga mkono pasco kwenye huu uzi wake wa kijinga kabisa
 
Mkuu pasco... heshima kwako... hua napenda sana kusoma analysis zako mkuu... sema hua napenda unipembulie zaidi bro... nipate kufaham na kuongeza ujuzi.. swali moja la kizushi... katika kikao cha cuf kinacho tarajia kukaa juma linalo kuja... je wakiamua kuwaambia wafuasi wao wasusie uchaguzi na kukubali matokeo yote baada ya hapo kwa amani na utulivu( jambo ambalo mie siliungi mkono).. na cuf ife tu natural death kwa upande wa znz.. wasishiriki tena siasa...na waendelee na maisha yao ya kawaida... hio imekaaje kaka? Itakua na impact yeyote?
 
Hii kauli yako utanijulisha baada ya uchaguzi nini kitatokea. Amani haichezewi hivyo hii ni haki ya wazanzibar
 
Mko tayari kuua watu kwa kile.mnachokiamini kisa Zanzibar ni sehemu ya JMT ujue huu ni uchochezi kwani wananchi wasipo piga kesho wakadai haki barabarani wewe utakuwa na wewe umechangia.
 
Usiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
Na wewe usiwaseme wazanzibar.waacheni waamue wenyewe
 
Mkuu pasco... heshima kwako... hua napenda sana kusoma analysis zako mkuu... sema hua napenda unipembulie zaidi bro... nipate kufaham na kuongeza ujuzi.. swali moja la kizushi... katika kikao cha cuf kinacho tarajia kukaa juma linalo kuja... je wakiamua kuwaambia wafuasi wao wasusie uchaguzi( jambo ambalo mie siliungi mkono).na kukubali matokeo yote baada ya hapo kwa amani na utulivu. na cuf ife tu natural death kwa upande wa znz.. wasishiriki tena siasa...na waendelee na maisha yao ya kawaida... hio imekaaje kaka? Itakua na impact yeyote?
 
Wewe mpunga kwelikweli! Yani ni tikiti maji haswaa! Vita itoke wapi?! Inaletwa na nani?! Mbona kampeni za 2015 hatukuona vita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…