dlamini
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 368
- 119
Kwani nani kawaamulia???????? Kura watapiga wao na mshindi atatangazwa na JECHA.Achenu Wazanziba waamue wala msiwaamulie!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani kawaamulia???????? Kura watapiga wao na mshindi atatangazwa na JECHA.Achenu Wazanziba waamue wala msiwaamulie!!
Mkuu , kwanza asante kuchangia uzi wako huu, na maswali yako ni ya msingi sana!. Tangu kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar, nimeishaandika sana, naomba pitia uzi huu na maswali ya mtu huyu, kisha linganisha na maswali yako, ukikuta bado kuna mengine hayajajibiwa, ndipo uniulize tena!.Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nakupa respect kubwa sana Pasco na kukuona kuwa miongoni ya Great Thinkers wa kutukuka humu JF.
Lakini kwa bandiko lako hili nimelazimika kukushusha hadhi to the very very lowest level.
Kwanza naamini hakuna mtu yeyote anayeweza kupinga jambo hili including wewe Pasco mwenyewe kuwa Katiba ya nchi ndiyo sheria mama na inapaswa kila mtu aitii na ndiyo mantiki ya kila kiongozi kabla hajakabidhiwa madaraka anaapa kuitii.
Sasa nataka nikuulize maswali machache Pasco:
1. Jecha alipoufuta uchaguzi wa Oktoba 25 alisema anaufuta kutokana na mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa sheria. Sasa kwa kuwa majukumu ya ZEC yameainishwa ndani ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984. Tunaomba Mkuu Pasco ututajie ni Ibara ipi ndani ya Katiba hiyo inayompa mamlaka Mwenyekiti wa ZEC tena bila kushirikisha makamishna wrnzie wa ZEC kuufuta uchaguzi huo?
2.Sote tulimsikia Jecha siku anaufuta uchaguzi ule tarehe 28/10/2015 akisema kuwa uchaguzi huo utarejewa ndani ya siku 90 ambayo ndiyo matakwa ya kisheria. Sasa tunaomba mkuu Pasco utueleze je tarehe 20/03/2016 iliyopangwa kufanyika uchaguzi huo bado ni ndani ya siku 90 ambazo Jecha huyo huyo alisema wazi kuwa ndipo utarejewa ili kutekeleza matakwa ya kisheria?
3. Hivi itawezekanaje uchaguzi huo wa marejeo usimamiwe na Jecha huyo huyo ambaye alidai Tume yake ya uchaguzi hawaelewani hadi waliwahi kutwangana ngumi? Hivi Tume ya aina hiyo inawezaje kuwa na credibility ya kusimamia jukumu zito kama hilo la uchaguzi mkuu ambalo ni la uhai wa Taifa letu?
4. Sote tunafahamu kuwa tokea atangaze kufutwa kwa uchaguzi wa Oktoba 25 Jecha alipelekwa mafichoni hadi ameibuliwa jana kufanya hiyo 'special task' na kurejea tena mafichoni. Sasa swali langu kwa Pasco, je Jecha atatusimamia uchaguzi huu wa marejeo kwa kutumia 'remote control' akiwa huko mafichoni?
5. Swali langu la mwisho kwa Pasco. Hivi ina maana nchi yetu ina kikundi kidogo cha watu ambao wanaruhusiwa kuisigina Katiba ya nchi wanavyotaka? Akiwemo huyo Jecha Salim Jecha ambaye anaisigina Katiba anavyotaka bila kuchukuliwa hatua yoyote? Au hayo yanafanyika kwa hicho Pasco ulichokiita kuulinda Muungano wa Tanzania kwa gharama yoyote?!
Wanabodi, tangu kufutwa kwa matokeo halali ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar, kila siku tumekuwa tukishuhudia makelele tuu ya kulalamika lakini hakuna yoyote anayechukua hatua stahiki!.
Maalim Seif analalamika!, Mbowe analalamika!, Mbatia analalamika!, wanasheria wanalalamika!, jumuiya ya kimataifa inalalamika!, wanasiasa wanalalamika!, wananchi wanalalamika!, CUF wanalalamika!, and this time hata CCM wanalalamika!. Kwa nini hawa wote wanalalamika tuu bila kuchukua hatua zozote wakati hatua za kuchukua zipo kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni?!.
Nakiri kupandisha bandiko hili kutokana na inspiration kutoka kwa Mkuu GHIBUU, katika bandiko lake hili Tanzania kuingia katika mgogoro wa Kikatiba
Mkuu GHIBUU, Hizi zote ni kelele tuu!, mimi naita mikelele!, kama zilivyokelele za chura kisimani au kelele za mlango!.
Hao wanasheria nao wakwende zao!, kila siku kutupigia mikelele tuu mara hivi mara vile lakini hakuna lolote linalofanyika!.
Kwenye muungano wetu, JMT pekee ndio nchi!, Zanzibar sio nchi bali ni sehemu tuu ya JMT yenye utawala wake wa ndani ambao zamani uliingia hadi 10 miles za coastal strip, lakini sasa mwisho ni Chumbe. JMT inaendesha mambo yake yote kwa mujibu wa sheiria, taatibu na kanuni!.
Kama katika uchaguzi wa Zanzibar uliofutwa, kuna sheria, taratibu na kanuni zilizovunjwa, chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka hivyo ni mhimili wa mahakama!. Hvyo kama kuna yoyote mwenye malalamiko yoyote kuhusu jambo lolote, anatakiwa kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya sheria na mahakama ndio pekee yenye mamlaka ya kutafsiri sheria na sio hao wanasheria, wanasiasa au wananchi wa kawaida!.
Hadi sasa kuna issues nyingi zinazihitaji ufafanuzi za kisheria lakini hakuna yoyote aliyechukua hatua stahiki imebaki kupigiana tuu mikelele humu na kwenye vyombo vya habari!.
Tanzania tumekuwa ni nchi ya kulalamika tuu na kupiga tuu mikelele bila kuchukua hatua yoyote!. Sheria zipo!, hatua za kuchukuliwa zipo, taratibu za kufuatwa, zipo!, kanuni za kuzingatia zipo!, hakuna yoyote aliyechukua hatua yoyote kufuata sheria taratibu na kanuni kazi kupiga tuu mikelele!. Kesho Dr. Magufuli atalifungua rasmi Bunge la 11 bila kizuizi chochote na hata baada ya ufunguzi, pia itafuatia tena mikelele!.
- Issue kuu ya kwanza ni kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar, jee hatua hiyo ni halali kisheria?. nani ameiuliza mahakama uhalali wa kufutwa kwa matokeo hayo zaidi ya mikelele tuu?!. Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kueleza uhalali wa tukio hilo!. Hakuna yoyote aliyekwenda mahakamani kupinga kufutwa huko kazi ni kutupigia tuu mikelele kwenye media and no body does anything!.
- Mwenyekiti wa ZEK (Jecha) kufuta uchaguzi huo!, jee Jecha anayo mamlaka hayo?!, jee ameufuta uchaguzi huo kwa mujibu wa kifungu gani?!. Kwa sababu Jecha hana mamlaka hayo, hivyo kitendo alichokifanya cha kuufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar ni kitendo batili na kinyume cha sheria, mwenye mamlaka ya kuusema ubatili huo ni mahakama pekee!, sio CUF, sio wanahaakati wala sio wanasheria!, nani amechukua hatua kuiomba mahakama kutoa ufafanuzi huo?!. No body!, kazi mikelele tuu!.
- Ukomo wa SMZ ni kuwepo madarakani ni 30/10/2015 na ungehitimishwa siku 7 baada ya kukabidhi madaraka kwa serikali mpya!. Kwa vile hakuna serikali mpya kufuatia kufutwa kwa matokeo, hivyo jee serikali iliyopo ni halali kuendelea kuwepo madarakani au kinyume cha sheria!. Chombo pekee chenye maml aka ya kutamka uhalali au ubatili wa serikali ya SMZ iliyopo mahakama pekee!, sio wanasiasa, wanasheria, au wananchi wa kawaida!. Hakuna yoyote aliyechukua hatua stahiki kuhitaji ufafanuzi huo, hivyo hiki kinachoendelea ni mikelele tuu!.
- Structure ya bunge la JMT, inajumuisha wabunge watano wa BLW. Stuctural issue ni composition of fomation, bila uwepo wa wabunge hao 5 wa BML, Bunge la JMT haliwezi kuwa constituted. Structural sio suala la quoram, yaani akidi, hili ni suala la muundo!, bila uwepo wa wabunge hao watato wa BLW bunge haliwezi kuundwa!. Chombo pekee chenye mamlaka ya kutamka uhalali wa kuundwa kwa bunge la 11 bila uwepo uwakilishi wa BLW ni mahakama pekee!. Jana nimemsikia Mbowe na Lisu wakipiga mikelele tuu kutishia watu nyau, lakini hawajafanya lolote au kuchukua hatua yoyote ya kuitumia mahakama kusimamisha kuzinduliwa kwa bunge batili!, kinachoendelea ni mikelele tuu!.
Ni Kelele, kelele, kelele tuu!.
Kwa nini watu hawachukui hatua zozote, bali kazi yao imebaki wanapiga mikelele tuu?!.
Tumechoka na mikelele, tunataka hatua zichukuliwe!.
Pasco
Update 1.
Mkuu hili la kuongea kama siijui historia ya Zanzibar, pitia nyuzi zangu hizi ili uone haya ninayoyajua mimi wewe uliyajua?!.
[h=3][/h][h=3]Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Mas[/h]
[h=3]Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuz
[/h][h=3]Re: Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muung
[/h] [h=3]Topic: Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe
[/h][h=3]Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kish
[/h][h=3]Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?.
[/h][h=3]Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana G
[/h][h=3]Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Unio
[/h][h=3]'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-Karume Jnr
[/h][h=3]Je, Abedi Amani Karume alikuwa na Wake 6? Ana Watoto Wa
[/h][h=3]Kumbe raisi mstaafu karume sio mtoto wa Abeid Karume! -
[/h][h=3]Mama Fatma Karume athibitisha Karume hakushiriki Mapinduzi [/h][h=3]Hatimaye Serikali yawaenzi Rasmi 'Nyerere na Karume'! Yawaundia ...
[/h][h=3]Licha ya Karume kutambuliwa: Kamchezo Uboreshaji Daftari P[/h]Mgogoro wa uchaguzi Zanzibar una sura mbili!, sura ya kisiasa na sura ya kisheria!. Mambo ya kisiasa yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa na kidplomasia, lakini mambo ya kisheria yanahitaji ufumbuzi wa kisheria!.
Undeshashaji wa uchaguzi ni suala la kisheria, taratibu na kanuni na sio suala la kisiasa!. Kama sheria taratibu na kanuni zimevunjwa, haya ni mambo ya kisheria na sio kisiasa!. Kuleta diplomasia kwenye mambo kisheria ni kuigeuza haramu iwe halali!.
Kama moja ya sababu za kufuta matokeo ni tuhuma za Maalim kujitangazia ushindi!. Kujitangazia matokeo ni kosa la jinai, hivyo kama ni kweli Maalim alijitangazia ushindi, kwa nini hajakamatwa na kushitakiwa ili sheria ifuate mkondo wake?!.
Uchaguzi unafanyika kwa mujibu wa sheria hadi kutangaza matokeo ni kwa mujibu wa sheria. Kama ZEK inaamua kufuta uchaguzi, mahakama ingeweza kuombwa kutoa executive orders za prohibition, certiorary na mandammus kuilazimisha ZEK kutangaza matokeo!. Hakuna yoyote aliyefanya hivyo watu mnapiga makelele tuu!.
Kama Jecha alifuta uchaguzi bila mamlaka yoyote it was as simple as ABC kumshitaki Jecha, aieleze mahakama ameufuta uchaguzi kwa kifungu gani!, mahakama ingetupilia mbali uamuzi wa Jecha na kumlazimisha kutangaza matokeo!.
Pasco
Wanabodi,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.htmlhttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Preamble: Mimi ni mwana fasihi, hapa nimetumia tamathali za semi, kwa kubakwa kwa demokrasia, na sio kubajwa kule kwa wale wenye mawazo machafu!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Hii ni thread ya swali!, "Jee Kubakwa na Kutulia Sio Kuridhia?!, Na Baada ya Kuridhia, Kuna Haja tena ya Kuhofia Kubakwa kuendelea kubwakwa?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Siku zinasonga, sarakasi za hatma ya Zanzibar zinaendelea!. Leo tumenyimwa hulua ya MCC!, who knows kesho tutanyimwa nini?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar halikuwa ombi, wala sio ushauri, kesema watu watajadili, ile ni amri,japo ni amri batili kwa sababu haikuandamana na ufafanuzi wa kifungu chochote cha sheria, amri ile, mimi naiita ni amri ya ubakaji wa demokrasia!, amri ikiishatolewa inafuatiwa na utekelezaji tuu na sio majadiliano!. Kitendo cha amri ile ya ubakwaji wa demokrasia, kwa kufutwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, kutekelezwa moja kwa moja bila pingamizi lolote!, mimi nakuita huku ni kuridhia ubakwaji, ule!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Tangazo la amri ile ya kufuta uchaguzi, liliandamana na amri ya haja ya kurudia uchaguzi, ila kwa vile amri ya kurudia ilitanguliwa na uwepo wa haja, Wazanzibari wenyewe wakiona hakuna haja, then sio lazima uchaguzi urudiwe!, CCM iendelee tuu kama inavyoendelea sasa, ambapo hapa ni mbakaji na mbakwaji kukubaliana kuendelea kuishi pamoja kama wanavyoishi sasa!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kwa vile Jecha ameufuta uchaguzi kwa 'uwezo alionao yeye Jecha!", kitendo cha hakuna yoyote aliyepinga rasmi tangazo hilo, zaidi ya kupiga kelele tuu kama kelele za mlango, au zile za chura kisimani, tafsiri yangu ni kuwa Wanzanzibari wote katika umoja wao, wameikubali amri hiyo ya Jecha, bila ya pingamizi lolote rasmi!, hivyo ni kweli Jecha anao uwezo huo mkubwa kweli kweli wa kufuta matokeo halali ya uchaguzi huru na wa haki, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, na wote wameridhika na amri hiyo, ndio maana hakuna yoyote aliyeipinga amri hiyo popote mpaka sasa!, huku ndiko nikakokuita kubwakwa kwa demokrasia, na aliyebakwa katulia tuli, kajimazia kimya bila kushitaki popote!, huku sio kurodhia?!, kama umebakwa ukaridhia na kuendelea kuishi na mbakaji, does it make sense kupiga kelele za kuohopa kubakwa tena?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Sasa kama Wanzanzibari katika umoja wao, wameikubali amri hiyo batili ya Jecha, jee hiki kigugumizi cha kurudiwa uchaguzi wa Zanzibar ni cha nini?!. Kama kufutwa kwa uchaguzi ni amri na imetekelezwa, kurudiwa kwa uchaguzi pia ni amri, na kinachofuatia ni utekelezaji tuu na sio mjadala!, hizi kelele za Zanzibar ni za nini wakati hakuna yeyote aliyechukua hatua?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Naomba kufafanua, kuna kitu kinachoitwa amri, ni one thing, na uhalali wa amri husika is another thing!, inapotolewa amri ambayo sio amri halali, ilipaswa isitekelezwa kwa kupingwa rasmi mahakamani!, lakini kwa vile hakuna pingamizi lolote hadi leo, kisheria hii inaitwa kuridhia by default!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Hata sheria ndoa inasema ndoa halali ni kufungwa kwa ridhaa, ndoa ikifungwa bila ridhaa, haiwi ndoa batili, bali ni ndoa batilifu!, yaani void na voidable mariages!. Hata ikitokea, watu wakachukuana na kuishi kinyumba bila kufungwa kwa ndoa yoyote, ule tuu utekelezaji wa majukuma ya ndoa, kunawafanya wanandoa hao kuhesabika wanaishi kwenye dhana ya ndoa, yaani presumption of marriage, na inahesabika kuwa wote wameridhia yaani consent, hivyo kuihalalisha hiyo ndoa yao mbele ya sheria!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kubaka ni kosa la jina!, na likifanyika kwa mtoto wa chini ya umri wa miaka 14, hata akiridhia, huo utahesabika ni ubakaji!, lakini ukimbaka binti mwenye umri zaidi ya miaka 15, na kumgeuza ni mkeo, binti huyo, asipolalamika au kupeleka mashitaka popote, atahesabika ameridhia ubakaji ule!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kwa Tanzania, umri wa mtu mzima (age of the majority or legal age) ni kuanzia miaka 18, sasa ikitokea binti wa miaka 18, amebakwa, akajinyamazia kimya, akaendelea kuishi na mbakaji maisha ya kinyumba, na akatimiza majukumu yake ya kindoa, kisheria, atahesabika binti yule ameiridhia ile ndoa na wawili hawa watahesabika ni wanandoa halali!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kitendo kilichofanywa na Jecha, ni ubakaji mkubwa kabisa wa demokasia kuwahi kutokea katika sehemu moja ya JMT, lakini kwa vile wapiga kura wote wana umri wa zaidi ya miaka 18, watu wote waliofanyiwa ubakaji huu, ni watu wazima na akili zao timamu!, kitendo cha wote hawa kubakwa, wakaishia kupiga tuu kelele kuwa "tumebakwa, tumebakwa". lakini hakuna yoyote aliyechukua hatua yoyote kuupinga rasmi ubakwaji huo, wala kupeleka mashitaka popote kuhusu ubakwaji huo, huku wakiendelea kuhudumiwa ma mbakaji huyo, na kutimiza majukumu yao ya kisiasa na wabakaji hao, tafsiri ya hali hii kisheria ni kuwa Wanzanzibari katika umoja wao, wameridhia kubakwa huku kwa ridhaa zao wenyewe!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Swali la kujiuliza ni kuwa kama ni kweli CUF ilishinda kihalali, lakini demokrasia ikabakwa, na wao kuukubali ubakwaji huu, jee sasa CUF inaogopa nini kuendelea kutekeleza masharti ya mbakaji huyo, kwa sababu, kama walishinda, hata uchaguzi ukirudiwa mara 100, si ni bado CUF itashinda?!, sasa hiki kigugumizi cha nini?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kama, CUF imeshinda kihalali lakini ushindi huo ukabakwa!, kwa nini mpaka sasa haijachukua hatua zozote rasmi kupinga ubakwaji huu?!. Hivi inakuwaje kweli baada ya kubakwa, mbakaji na mbakwaji, wanakaa chini kunegotiate jinsi ya kuendelea na maisha ya unyumba yaliotokana na ubakaji?!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Nauliza tena, Zanzibar! Jee Kubakwa na Kutulia Sio Kuridhia?!, Jee Kuna Haja Ya Kuhofia Kurudiwa Uchaguzi?!, kama umeweza kubwaka na ukatulia tuu, hata uchaguzi ukirudiwa una wasiwasi gani?!, kama ni kweli ulishinda, hata ukirudiwa utashinda tena, hata ukishinda na demokrasia ikabakwa tena, si utakuwa umeisha zowea?.
Ni swali tuu!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Jumapili Njema!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Pasco
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Pasco
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.htmlhttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Umeandika vizuri tu fasihi yako.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Mimi naomba unisaidie kumjua mbakaji.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Huyu mbakaji unayemzungumzia ni nani? Je ni Jecha?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Na amembaka nani ?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kama ni Jecha, je Jecha amebaka kama Jecha au kama Taasisi?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kama Jecha ni mbakaji wa demokrasia kwa nini analindwa na taasisi na vitengo?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Je mbakaji ametenda kosa la kubaka kwa utashi wake tu au ana washirika?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kama Jecha ana wasaidizi waliomshawishi au kumsaidia kubaka, je nao ni wabakaji?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Umemalizia fasihi yako kwa kulalamika kuwa tumenyimwa halua ya MCC. Kwa nini sisi tulionyimwa halua hatumchukulii hatua yoyote mbakaji?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Je na sisi tumeridhia na kukubali kunyimwa halua?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Je na sisi kwa kuridhia kunyimwa halua ni kuridhia pia kuwa ni accomplice wa mbakaji wa demokrasia/wabakaji wa demokrasia?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Je mbakaji amewabaka wapigakura na waliowapigia kura?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kwa hiyo mbakaji amewabaka CCM, CUF na wasiokuwa na vyama?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Na wote hawa wameridhia kwa kukaa kimya, huku mbakaji akijipanga ili aendelee kuwabaka?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Mbakaji ni nani? Pasco mtaje hadharani ili kila mtu, kila binadamu, kila kiumbe apate kumjua. Sema kweli , msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Mtaje mbakaji ili mtumbua majipu apate kazi ya kumshughulikia. Tumepata mtumbua majipu ambaye naamini akioneshwa jipu(mbakaji) hatafanya unafiki, atafanya kweli na atatenda kweli. Atalitumbua jipu. Au unafikiri mtumbua majipu naye anaridhia kunyimwa halua?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Ubakaji umefanyika wapi? Nchi ipi?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Kwa nini tunalaumu waliobakwa na tunamsahau mbakaji?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Mbakaji wa demokrasia ni nani Tanzania?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Ajabu ya Tanzania na watanzania utaiona pale wanapomhukumu kibaka mtaani lakini hawaoneshi kukerwa na mbakaji wa demokrasia, pia ni wazuri katika kulalamikia kukosa halua.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Tanzania ni nchi ya wadanganyika.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.htmlPasco
- Mimi naomba unisaidie kumjua mbakaji. Mkuu Nonda, kwanza asante kwa kunielewa maana uelewa wa fasihi humu jukwaanini siku hizi ni shida!, hivyo nitakusaidia!
- Huyu mbakaji unayemzungumzia ni nani? Je ni Jecha?-Yes ni yeye!.
- Na amembaka nani?. Demokrasia ya Zanzibar!, wahanga ni wapenda demokrasia wote wa Zanzibar!.
- Kama ni Jecha, je Jecha amebaka kama Jecha au kama Taasisi?-Yeye kama yeye!.
- Kama Jecha ni mbakaji wa demokrasia kwa nini analindwa na taasisi na vitengo?-Halindwi bali hakuna yoyote aliyelalamika rasmi!au kumlalamikia!, hakuna aliye juu ya sheria!, ami ile ni batili, na hana mamlaka yale, lakini wenyewe wameridhia!.
- Je mbakaji ametenda kosa la kubaka kwa utashi wake tu au ana washirika?- Hii inaitwa 'actus reus' na 'mens rea' hujulikana baada ya kufanyika uchunguzi, kitendo cha hakuna aliyeshitaki, hakuna uchunguzi uliofanyika!.
- Kama Jecha ana wasaidizi waliomshawishi au kumsaidia kubaka, je nao ni wabakaji?- Uchunguzi ndio ungethibitisha hili, ila wasaidizi wowote wa jinai wanaitwa accomplices, nao huunganishwa kama washitakiwa, iwapo shauri lingefunguliwa!, baadhi yao wangekuwa 'accesories before the facts', waliosaidia kabla ya kitendo, na wengine wangekuwa 'accesories after the facts' hawa sio lazima wawe waliosaidia, lakini hata walioona ubakaji ule, lakini wakaunyamazia, simply because mbakwaji hajalalamika!.
- Umemalizia fasihi yako kwa kulalamika kuwa tumenyimwa halua ya MCC. Kwa nini sisi tulionyimwa halua hatumchukulii hatua yoyote mbakaji?-Hatuawezi kumchukulia hatua yoyote kwa sababu hatua ya kwanza ni kwa mbakwaji kulalamika!. Aliyebakwa yupo na haja lalamika popote!, unaanzia wapi?!.
- Je na sisi tumeridhia na kukubali kunyimwa halua?-Hatujaridhika ila hatuna jinsi!. Ukiona mtu kabakwa, kisha kanyamaza, ametulia tuli, huku akiendelea kuhudumiwa na mbakaji, hii inamaanisha ameridhia!, japo mwanzo alianza kwa kubakwa, kimya chake cha kutoshitaki au kulalamika popote ni kiashiria cha kuridhia!.
- Je na sisi kwa kuridhia kunyimwa halua ni kuridhia pia kuwa ni accomplice wa mbakaji wa demokrasia/wabakaji wa demokrasia?-Hapana, sisi ni bystanders tuu, tumealikwa sherehe ya harusi, ili harusi ifungwe, tushehekee kwa zawadi za tende na halua!, lakini kabla ya ndoa kufungwa, bi harusi kabakwa na mtu baki!, matokeo yake ni hakuna tena sherehe, japo tulitamani sana hizo tende na halua lakini ndio hivyo tena!, ila kitu cha ajabu kinachotushangaza sana, na mpaka sasa hatuelewi, ni ukimya na utulivu juu ya tukio lile!, aliyebakwa ametulia tuli na mbakaji!, lakini hata yule bwana harusi wa harusi ile ambapo ubakwaji umefanyika mbele ya macho yake, naye yuko kimya licha ya kukosa mwali na maji ya moto!, sisi waalikwa tuu wa sherehe hile tufanyaje?!, tumejirudia zatu makwetu mikono mitupu!.
- Je mbakaji amewabaka wapigakura na waliowapigia kura?-Kwa vile hakuna yoyote aliyelalamika kubakwa!, sasa hili la mbakaji amembaka nani, tunawaachia wenyewe, waliobakana na kuridhiana, sisi kwetu halituhusu zaidi ya kukosa tuu tule tujizawadi twa halua!.
- Kwa hiyo mbakaji amewabaka CCM, CUF na wasiokuwa na vyama?-Sheria ya jinai inauhusu yoyote aliyeona jinai ikifanyika, kutoa taaifa kunakohusika ili uchunguzi ufanyike!, madhali hakuna taarifa yoyote rasmi ya ubakaji huo, hakuna yoyote aliyelalamika so far, status quo ya situation inahesabika ni nomal, watu wameitwa hausini, kumetokea tukio la ubakwaji, tumeelezwa harusi haikufungwa, itafungwa tena siku nyingine, na wote wameridhia ila wasasita sita kupanga tarehe ya kurudia harusi!.
- Na wote hawa wameridhia kwa kukaa kimya, huku mbakaji akijipanga ili aendelee kuwabaka?-ndio maana yake!, na mimi nimesema, kama mwanzo walibakwa na wakakaa kimya, hata sherehe ikiudiwa, wanaweza kubakwa tena!, jee wakibakwa tena na sasa ndipo walalamike kuwa hata mwanzo walibakwa lakini wakanyamaza, nani atawasikiliza?!.
- Mbakaji ni nani? Pasco mtaje hadharani ili kila mtu, kila binadamu, kila kiumbe apate kumjua. Sema kweli , msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mbakaji, anajulikana, kwa vile kitendo cha ubakaji huo, kimefanyika, mchana kweupe, kwenye kadamnasi ya watu!, kama ni kupigwa kwa makelele kuhusu ubakwaji huo, makelele yamepugwa sana!, hitaji la kisheria sio kupiga makelele ya nimebakwa nimemakwa, au tumebakwa!, hitaji la kisheria ni kupeleka malalamiko rasmi ya ubakwaji ili uchunguzi ufanyike shauri lifunguliwe na ndipo ziwepo official recods za ubakaji huo!.
- Mtaje mbakaji ili mtumbua majipu apate kazi ya kumshughulikia. Tumepata mtumbua majipu ambaye naamini akioneshwa jipu(mbakaji) hatafanya unafiki, atafanya kweli na atatenda kweli. Atalitumbua jipu. Au unafikiri mtumbua majipu naye anaridhia kunyimwa halua?-Ni kweli sasa nchi yetu imebarikiwa kumpata mtumbua majipu, aliyebakwa akilalamika, kiukweli mtumbua majipu atatumbua tuu!, tena sio kutumbua majibu makubwa na mijipu mikubwa mikubwa tuu, huyu mtumbua majipu anaweza hata kuvitumbua vile vijipu uchungu, vikiwemo, watu wazima wenye nguvu zao, kula bure, kulala bure, umeme bure, tena kajisehemu kadogo kupita hata wilaua moja tuu ya Kinondoni, kenye watu wasiozidi hata milioni moja!, kutengewa asilimia 4.5% ya bajeti ya nchi yetu!. Huyu mtumbua majipu anaweza kabisa kuyatumbua yale makero, kwa kukafuta kabisa kale kasehemu, kwa kuunda nchi moja, serikali moja!, na kuzimaliza kabisa hizi kelele!.
- Ubakaji umefanyika wapi? Nchi ipi? -Ubakaji haijafanywa kwa nchi yoyote, kwa sababu ile sio nchi!, mchi ni JMT pekee na kule ni sehemu tuu ya JMT kwenye utawaa wake wa ndani!. Nchi kama nchi tuko salama u samini na tunapeta tuu, ukiondoa upungufu tuu wa halua!.
- Kwa nini tunalaumu waliobakwa na tunamsahau mbakaji?. Hatulaumu waliobakwa, hakuna yoyote anayelaumu hapa, bali tumechoshwa na kelele, vilio, na malalamiko, manung'uniko na ghubu za kutwa kucha za "tumebakwaa! tumebakwaa!", leteni malalamiko rasmi, watu kimya!, hata sisi tunaoandika humu, sio kuwalaumu bali kuwashangaa tuu!.
- Mbakaji wa demokrasia ni nani Tanzania?- nahisi kama maswali yameisha, naona kama yanajirudia rudia tuu!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuhofia-kurudiwa-uchaguzi-post14918006.html
Nami naunga mkono hoja, uchaguzi ukirudiwa usitegemee cuf kushindaur wrong mr.
pale cuf ikikubali kushiriki inapigwa buubaa,..
bora waendelee na msimamo wa kutoshiriki had mwisho2,..
jk c mtu mzuri
ashaandaa sumu zake na benja mkpa na sheni kupiga machanga ya macho,..cuf hata wafanyaje hawataweza kuzuia wizi
wa ccm.,...
ni bora wasimamie msima wa kutoshiriki,.,.
aaaaaaaaaaahhh hiyo never happen mkuuuu,..Nami naunga mkono hoja, uchaguzi ukirudiwa usitegemee cuf kushinda
Mkuu hadi mda huu ccm wameshajihakikishia ushindi. Wakati mazungumzo yanaendelea wao walisha anza mikakAti ya ushindi wa mezani. Ccm ni nundu na sio jipu tenaaaaaaaaaaaahhh hiyo never happen mkuuuu,..
bora kma kukomaa wasishiriki2,..
au wakikubali kushiriki bas cuf iwe tayar kulinda jicho kwa jicho,..
na ulinz wao uwe mkubwa kuliko ccm,..
hapo@list
alaf wanajifanya watumbua majipu,..Mkuu hadi mda huu ccm wameshajihakikishia ushindi. Wakati mazungumzo yanaendelea wao walisha anza mikakAti ya ushindi wa mezani. Ccm ni nundu na sio jipu tena
ikipendarohoMimi hichi ndicho ninachoona kitatokezea. CUF hawatoshiriki uchaguzi wa marejeo. Watasubiri mpaka mchakato wa uchaguzi ufike mwisho, wataenda mahakama kuu kuhalalisha matokeo ya udiwani na uwakilishi wa uchaguzi wa 25/10/2015.
Kisheria si Jecha walaTume yote kwa ujumla wanao uwezo wa kubatilisha matokeo yaliyokamilika hasa tunazungumzia ya udiwani na uwakilishi wakati washindi wameshapatiwa mpaka vyeti vya ushindi. Kinachotokea sasa hivi ni utashi wa kisiasa ambao unatigharimu big time!
As far as uraisi is concerned, hiyo tuiweke chanis kwa wakati huu lakini kwa udiwani na uwakilishi hata kama atwekwa Jecha mwenyewe kuwa judge katika kesi hii basi atabanwa kisheria na kutowa hukumu in favour of CUF.
Sorry CUF sikuwa na maana ya kutowa siri ya mkakati wenu. It's obvious outcome kwa mtu alozaliwa na kichwa chenye nywele!
This is where the Burrell of a gun remain the only true option.Usiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
Kaka Pasco,ikipendaroho
CUF wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa marudio ndipo waende mahakamani itakuwa too late kwa sababu uchagfuzi wa rais haupingwi mahakamani!.
Kama ni kwenda mahakamani walipaswa kuupinga uamuzi ule wa Jecha, ila pia mahakama imeweka sheria ya limitation kwenye mambo yote ya uchaguzi, ni kufungua shauri ndani ya siku 90!. Zimeishapita. Hata hivyo sasa bado wanayonafasi ya kuupinga huu uchaguzi but on what ground?!.
Pasco
Pasco bana! Uliyoandika ni kama unasahau historia ya Zanzibar! Karume alipambana sana na CUF chini ya. Mbabe Mkapa wakarudi hata uchaguzi wa Pemba baada ya wawakilishi kufukuzwa lakini wapemba wakawarudisha wawakilishi wale wale! It is not easy kama ulivyoandika! Na huyo JPM unayemsifia sijui namba ingine sijui hapa kazi, naona anabore vibaya! Japo kikatiba issue ya election ya Zenji sio issue ya Muungano but anapaswa kuonyesha leadership kuhusu uhuni uliofanywa Zanzibar! We cannot continue kukubali uhuni wa watu wanaopenda madaraka uendelee Tanzania halafu tunaonyesha ubabe wa kuwanyooshea wenezetu vidole kama Burundi?! Hiyo jeuri inatoka wapiWanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. CUF hakina option yoyote ya kuamua ama ishiriki ama isishiriki uchaguzi huo, kwa sababu ushiriki wa uchaguzi wa marudio sio suala la option bali ni jambo la lazima, watake wasitake ni lazima washiriki, kwa sababu kila kitu kiko vile vile kama mwanzo!, nikimaanisha hata wakisusa, picha na majina ya wagombea wao yatakuwepo kwenye karatasi za kura!.
Wenye option ya kuamua kushiriki au kutoshiriki uchaguzi huo ni wapiga kura, ndio wanaweza kuamua ama kujitokeza kushiriki kupiga kura, au kususa kupiga kura kwa kutokujitokeza, na mgombea hata kama atapata kura moja ya ndio, ndio atatangazwa mshindi!, hivyo kupiga kura au kutopiga kura ndio bado ni option!, lakini kushiriki uchaguzi huo sio option ni jambo la lazima!.
Iwapo CUF itatangaza kususia uchaguzi huo, tangazo hilo ndilo litakuwa tangazo rasmi la kifo rasmi cha kilichokuwa kinaitwa Chama cha Wananchi CUF, kwa sababu, ngome kuu ya CUF ni Pemba, kususia uchaguzi ni kuipoteza Pemba ambapo na ngome kuu ikiishakuangua, it is just a matter of time, chama chenyewe chote kielekee kaburini!.
Hata kama CUF watatangaza kususa, majina ya wagombea wa CUF tayari yako kwenye karatasi za kura katika uchaguzi huo, hivyo wakitangaza kususa, maana ni wagombea wa CUF hawatachaguliwa, hivyo kuipatia CCM ushindi wa mezani, ikiwemo kuitwaa ngome ya CUF kule Pemba na kuivunja uti wake wa mgongo, kwa CCM kuvitwaa viti vyote vya Uwakilishi Zanzibar na Pemba, ambapo pia huo ndio utakuwa mwisho wa SUK na CCM kutawala peke yake na kuhitimishwa kwa kifo rasmi cha chama cha wananachi, CUF!.
Nakiri kupandisha uzi huu kufuatia bandiko la mwana jf huyu
Hoja katika badhiko hilo mi kitisho cha CUF kuwa kisiposhiriki, hali ya amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar, utakuwa mashakani!. Maadam Zanzibarr sio nchi bali ni sehemu ya JMT, dhima ya muungano, ni undungu wa asili kati ya watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar, lakini sababu halisi ya muungano ni kuipatia Zanzibar ulinzi na usalama, Zanzibar haina polisi wala jeshi, hivyo jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Zanzibar tuu, bali ni jukumu la JMT, haiwezekani sehemu moja ya JMT iwe katika hali tete, wakati JMT ni nchi moja, ulinzi na usalama wa JMT utakuwa mikononi mwa JMT!.
Hivyo CUF washiriki uchaguzi huu wa marudio, au wasishiriki kwa kuususia, it will not make any difference kwenye amani na utulivu wa Zanzibar kwa sababu jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Wanzanzibari wenyewe pekee, bali pia ni jukumu la serikali ya JMT, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, Dr. Joh Pombe Magufuli!.
Zanzibar kama sehemu ya JMT, inayo assuarance ya Amri Jeshi Mkuu wa JMT, kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, uliotangazwa, utafanyika kwa uhuru, amani, usalama na utulivu, mshindi atapatikana kwa haki, atatangazwa, ataapishwa na kuunda serikali nyingine ya Zanzibar yenye jina la SUK lakini wawakilishi wa CUF kuendelea kuitawala Zanzibar kwa uhuru na amani kabisa bila`wasiwasi wowote kwa ile falsafa ya kule ya Mapinduzi Daima!.
Demokasia ya kweli ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa manufaa ya watu hao!, (of the people, by the people, and for the people), ila demokasia hiyo haikuwe kiwango cha asilimia ya watu hao!, hivyo hata kama nchi ina watu milioni moja, serikali ikachaguliwa na watu 10 tuu, bado serikali hiyo itakuwa ni serikali halali kisheria, japo itakosa peoples legitimacy, kwa watu hao ndio watakuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kwa kutokupiga kura!.
Kushiriki uchaguzi wowote, kwa kugombea nafasi yoyote ni hiyari, pia kuamua kutokushiriki katika uchaguzi pia ni hiyari, sambamba na kujiandikisha kupiga kura ni hiyari, kutokujiandikisha pia ni hiyari, na kujiandikisha kupiga kura na kisha kuamua kutokupiga kura pia ni hiyari, zote hizo ni demokrasia.Kama CUF itawashawishi wafuasi wake kususia uchaguzi huo, hiyo itakuwa ndio demokrasia yao!.
Kitendo cha CUF kushiriki uchaguzi wa mwanzo kunaifanya CUF ni lazima ishiriki uchaguzi wa marudio sio kwa hiyari ua kwa kupenda, bali ipende, isipende, ni lazima ishiriki uchaguzi huo!.
Hapa hakuna suala la choice. Na iwapo CUF watasusa kushiriki uchaguzi huo wa marudio, kususa huko kutakuwa ni kususa batili kwa sabu picha na majina ya wagombea wa CUF yataendelea kuwepo kwenye karatasi za kura!, hivyo kususa huko ndiko kutakao ipatia CCM ushindi wa mezani, tena this time CCM itashinda viti vyote vya uwakilishi Unguja na Pemba, na huu ndio utakuwa mwisho rasmi wa CUF. Kamwe CUF isikubali kuingia katika mtego wa kususia uchaguzi wa marudio!.
Turufu ya CUF kutishia kususa ni kwa kisingizio cha itabembelezwa ili kusitokea machafuko Zanzibar!. Kiukweli JK alikuwa ni mpole sana, hivyo Zanzibar imemchezea sana hadi kumtia vidole machoni katika yale mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010.
Kwa sasa Amiri Jeshi Mkuu ni Dr. John Pombe Magufuli, hii ni namba nyingine, huyu sio mtu wa mchezo mchezo au kuchezewa kama JK, hivyo CUF kama wanadhani watasusa na kubembelezwa, ili kuepusha machafuko Zanzibar, nawahakikishia this time watakuwa wame bugi step, hata wakisusa, hakutakuwa na vujo wala ,achafuko yoyote Zanzibar kwa sababu sasa ni zamu ya hapa hapa ni kazi tuu!.
Wanzanzibar, na Watanzania wote, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya JMT, tuna jukumu kubwa la kuilinda amani na utulivu wa eneo lote la JMT, ikiwemo Zanzibar, kwa gharama yoyote!, hii ikiwa ni pamoja na kuulinda muungano kwa gharama yoyote!.
Wasalaam
Pasco
Ungekuwa unajijua wewe unavyo kera hadi watu wakiona post zako wanatamani kutapika
Kwani ushawahi msikia ameenda nje zaidi ya kibandamauti? Au kisiwandui? Ndio maana hilo sio shida kwao yaani jinsi gani jumuia ya kimataifa inachukukia hili swala maana inapokuja uhusiano na jumuia za kimataifa wanakuwa chini ya JMTHuu uchaguzi hata urudiwe mara mia kama haujakubalika kimataifa basi huyo rais Shein atakuwa rais ndani ya Tanzania.
Akija ulaya na America ni raia w kawaida kwa sababu hawamtambui na hawatamtambua, mataifa yashaweka wazi matokeo yatangazwe, vipi leo murudie uchaguzi?
Suala la uchaguzi ni suala la kimataifa na sio kitaifa.
Hamjawahi kuona vita mara hii vipo zanzibar, kwa uchaguzi huu ambao ccm imedhamiria bao la mkono
Toka hapa hatuna mpinzani mnafiki kama pasco,ambaye anajifanya mwanamabadiliko wakati mi mnafiki mkubwa!!!!Hivi unamjua Pasco ama unajifanya taahira? Kati ya Pasco na wewe Mmawia nani hadhi yake ni kubwa humu jf? Au kwa vile kaandika kitu ambacho kimekuchukiza? Pasco yupo upande wenu isipokuwa anaandika kutokana na hali halisi. Binafsi namkubali sana Pasco ijapokuwa tumekuwa tukikwaruzana katika mambo mengi hususan mapenzi yake kwa Lowasa
huu ni mtizamo wako na sidhani kama uko sahihi,labda km unazungumzia siasa za kabla ya 1992 za kuweka picha mtu awepo asiwepo anachaguliwa hata kwa kuweka jiwe,but sio democratic elections,CUF ni zaid ya chama,yaani by that time tungeiita chama cha PAN AfricanismWell. Umeandika vema. Ila kwa upande wangu nakubaliana na Pasco. CUF hawana option nyingine zaidi ya kushiriki uchaguzi. Kumbuka uhai wa chama cha siasa upo kwenye kushiriki uchaguzi. Kama chama hakishiriki uchaguzi maana yake ni kwamba kimejiondoa chenyewe kwenye siasa. CUF wakithubutu kufanya hivyo ndo tutakuwa tumewazika rasmi
Karibia ulimwengu utajua hila zote za huu muungano,Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote
exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?