Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Uchaguzi haukuwa HURU na HAKI sababu mmeshindwa.Mkishindwa tena itakuwa je??Mtarudia uchaguzi??? Ni lini CCM ilishinda Z'bar???Endelea kuimba hivyo hadi siku ya uchaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi haukuwa HURU na HAKI sababu mmeshindwa.Mkishindwa tena itakuwa je??Mtarudia uchaguzi??? Ni lini CCM ilishinda Z'bar???Endelea kuimba hivyo hadi siku ya uchaguzi
Pasco,inamaana CUF wakiamua kushiriki na wakashinda tena je Uchaguzi utarudiwa???Maana CCM haijawahi kushinda huko ni kulazimisha kushinda.CCM ikishindwa tena kwa kishindo Uchaguzi utarudiwa tena???Wanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. CUF hakina option yoyote ya kuamua ama ishiriki ama isishiriki uchaguzi huo, kwa sababu ushiriki wa uchaguzi wa marudio sio suala la option bali ni jambo la lazima, watake wasitake ni lazima washiriki, kwa sababu kila kitu kiko vile vile kama mwanzo!, nikimaanisha hata wakisusa, picha na majina ya wagombea wao yatakuwepo kwenye karatasi za kura!.
Wenye option ya kuamua kushiriki au kutoshiriki uchaguzi huo ni wapiga kura, ndio wanaweza kuamua ama kujitokeza kushiriki kupiga kura, au kususa kupiga kura kwa kutokujitokeza, na mgombea hata kama atapata kura moja ya ndio, ndio atatangazwa mshindi!, hivyo kupiga kura au kutopiga kura ndio bado ni option!, lakini kushiriki uchaguzi huo sio option ni jambo la lazima!.
Iwapo CUF itatangaza kususia uchaguzi huo, tangazo hilo ndilo litakuwa tangazo rasmi la kifo rasmi cha kilichokuwa kinaitwa Chama cha Wananchi CUF, kwa sababu, ngome kuu ya CUF ni Pemba, kususia uchaguzi ni kuipoteza Pemba ambapo na ngome kuu ikiishakuangua, it is just a matter of time, chama chenyewe chote kielekee kaburini!.
Hata kama CUF watatangaza kususa, majina ya wagombea wa CUF tayari yako kwenye karatasi za kura katika uchaguzi huo, hivyo wakitangaza kususa, maana ni wagombea wa CUF hawatachaguliwa, hivyo kuipatia CCM ushindi wa mezani, ikiwemo kuitwaa ngome ya CUF kule Pemba na kuivunja uti wake wa mgongo, kwa CCM kuvitwaa viti vyote vya Uwakilishi Zanzibar na Pemba, ambapo pia huo ndio utakuwa mwisho wa SUK na CCM kutawala peke yake na kuhitimishwa kwa kifo rasmi cha chama cha wananachi, CUF!.
Nakiri kupandisha uzi huu kufuatia bandiko la mwana jf huyu
Hoja katika badhiko hilo mi kitisho cha CUF kuwa kisiposhiriki, hali ya amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar, utakuwa mashakani!. Maadam Zanzibarr sio nchi bali ni sehemu ya JMT, dhima ya muungano, ni undungu wa asili kati ya watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar, lakini sababu halisi ya muungano ni kuipatia Zanzibar ulinzi na usalama, Zanzibar haina polisi wala jeshi, hivyo jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Zanzibar tuu, bali ni jukumu la JMT, haiwezekani sehemu moja ya JMT iwe katika hali tete, wakati JMT ni nchi moja, ulinzi na usalama wa JMT utakuwa mikononi mwa JMT!.
Hivyo CUF washiriki uchaguzi huu wa marudio, au wasishiriki kwa kuususia, it will not make any difference kwenye amani na utulivu wa Zanzibar kwa sababu jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Wanzanzibari wenyewe pekee, bali pia ni jukumu la serikali ya JMT, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, Dr. Joh Pombe Magufuli!.
Zanzibar kama sehemu ya JMT, inayo assuarance ya Amri Jeshi Mkuu wa JMT, kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, uliotangazwa, utafanyika kwa uhuru, amani, usalama na utulivu, mshindi atapatikana kwa haki, atatangazwa, ataapishwa na kuunda serikali nyingine ya Zanzibar yenye jina la SUK lakini wawakilishi wa CUF kuendelea kuitawala Zanzibar kwa uhuru na amani kabisa bila`wasiwasi wowote kwa ile falsafa ya kule ya Mapinduzi Daima!.
Demokasia ya kweli ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa manufaa ya watu hao!, (of the people, by the people, and for the people), ila demokasia hiyo haikuwe kiwango cha asilimia ya watu hao!, hivyo hata kama nchi ina watu milioni moja, serikali ikachaguliwa na watu 10 tuu, bado serikali hiyo itakuwa ni serikali halali kisheria, japo itakosa peoples legitimacy, kwa watu hao ndio watakuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kwa kutokupiga kura!.
Kushiriki uchaguzi wowote, kwa kugombea nafasi yoyote ni hiyari, pia kuamua kutokushiriki katika uchaguzi pia ni hiyari, sambamba na kujiandikisha kupiga kura ni hiyari, kutokujiandikisha pia ni hiyari, na kujiandikisha kupiga kura na kisha kuamua kutokupiga kura pia ni hiyari, zote hizo ni demokrasia.Kama CUF itawashawishi wafuasi wake kususia uchaguzi huo, hiyo itakuwa ndio demokrasia yao!.
Kitendo cha CUF kushiriki uchaguzi wa mwanzo kunaifanya CUF ni lazima ishiriki uchaguzi wa marudio sio kwa hiyari ua kwa kupenda, bali ipende, isipende, ni lazima ishiriki uchaguzi huo!.
Hapa hakuna suala la choice. Na iwapo CUF watasusa kushiriki uchaguzi huo wa marudio, kususa huko kutakuwa ni kususa batili kwa sabu picha na majina ya wagombea wa CUF yataendelea kuwepo kwenye karatasi za kura!, hivyo kususa huko ndiko kutakao ipatia CCM ushindi wa mezani, tena this time CCM itashinda viti vyote vya uwakilishi Unguja na Pemba, na huu ndio utakuwa mwisho rasmi wa CUF. Kamwe CUF isikubali kuingia katika mtego wa kususia uchaguzi wa marudio!.
Turufu ya CUF kutishia kususa ni kwa kisingizio cha itabembelezwa ili kusitokea machafuko Zanzibar!. Kiukweli JK alikuwa ni mpole sana, hivyo Zanzibar imemchezea sana hadi kumtia vidole machoni katika yale mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010.
Kwa sasa Amiri Jeshi Mkuu ni Dr. John Pombe Magufuli, hii ni namba nyingine, huyu sio mtu wa mchezo mchezo au kuchezewa kama JK, hivyo CUF kama wanadhani watasusa na kubembelezwa, ili kuepusha machafuko Zanzibar, nawahakikishia this time watakuwa wame bugi step, hata wakisusa, hakutakuwa na vujo wala ,achafuko yoyote Zanzibar kwa sababu sasa ni zamu ya hapa hapa ni kazi tuu!.
Wanzanzibar, na Watanzania wote, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya JMT, tuna jukumu kubwa la kuilinda amani na utulivu wa eneo lote la JMT, ikiwemo Zanzibar, kwa gharama yoyote!, hii ikiwa ni pamoja na kuulinda muungano kwa gharama yoyote!.
Wasalaam
Pasco
Pasco CCM haijawahi kushinda Z'bar, je wakishindwa tena Uchaguzi utarudiwa??? Je,Leo Maiga akienda Burundi ati kusuluhisha ugomvi wa Uchaguzi ataambiwaje???Je,Magufuli na Chama chake wanasifa ya kwenda kutatua migogoro kwenye nchi nyingine???Wanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. CUF hakina option yoyote ya kuamua ama ishiriki ama isishiriki uchaguzi huo, kwa sababu ushiriki wa uchaguzi wa marudio sio suala la option bali ni jambo la lazima, watake wasitake ni lazima washiriki, kwa sababu kila kitu kiko vile vile kama mwanzo!, nikimaanisha hata wakisusa, picha na majina ya wagombea wao yatakuwepo kwenye karatasi za kura!.
Wenye option ya kuamua kushiriki au kutoshiriki uchaguzi huo ni wapiga kura, ndio wanaweza kuamua ama kujitokeza kushiriki kupiga kura, au kususa kupiga kura kwa kutokujitokeza, na mgombea hata kama atapata kura moja ya ndio, ndio atatangazwa mshindi!, hivyo kupiga kura au kutopiga kura ndio bado ni option!, lakini kushiriki uchaguzi huo sio option ni jambo la lazima!.
Iwapo CUF itatangaza kususia uchaguzi huo, tangazo hilo ndilo litakuwa tangazo rasmi la kifo rasmi cha kilichokuwa kinaitwa Chama cha Wananchi CUF, kwa sababu, ngome kuu ya CUF ni Pemba, kususia uchaguzi ni kuipoteza Pemba ambapo na ngome kuu ikiishakuangua, it is just a matter of time, chama chenyewe chote kielekee kaburini!.
Hata kama CUF watatangaza kususa, majina ya wagombea wa CUF tayari yako kwenye karatasi za kura katika uchaguzi huo, hivyo wakitangaza kususa, maana ni wagombea wa CUF hawatachaguliwa, hivyo kuipatia CCM ushindi wa mezani, ikiwemo kuitwaa ngome ya CUF kule Pemba na kuivunja uti wake wa mgongo, kwa CCM kuvitwaa viti vyote vya Uwakilishi Zanzibar na Pemba, ambapo pia huo ndio utakuwa mwisho wa SUK na CCM kutawala peke yake na kuhitimishwa kwa kifo rasmi cha chama cha wananachi, CUF!.
Nakiri kupandisha uzi huu kufuatia bandiko la mwana jf huyu
Hoja katika badhiko hilo mi kitisho cha CUF kuwa kisiposhiriki, hali ya amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar, utakuwa mashakani!. Maadam Zanzibarr sio nchi bali ni sehemu ya JMT, dhima ya muungano, ni undungu wa asili kati ya watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar, lakini sababu halisi ya muungano ni kuipatia Zanzibar ulinzi na usalama, Zanzibar haina polisi wala jeshi, hivyo jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Zanzibar tuu, bali ni jukumu la JMT, haiwezekani sehemu moja ya JMT iwe katika hali tete, wakati JMT ni nchi moja, ulinzi na usalama wa JMT utakuwa mikononi mwa JMT!.
Hivyo CUF washiriki uchaguzi huu wa marudio, au wasishiriki kwa kuususia, it will not make any difference kwenye amani na utulivu wa Zanzibar kwa sababu jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Wanzanzibari wenyewe pekee, bali pia ni jukumu la serikali ya JMT, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, Dr. Joh Pombe Magufuli!.
Zanzibar kama sehemu ya JMT, inayo assuarance ya Amri Jeshi Mkuu wa JMT, kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, uliotangazwa, utafanyika kwa uhuru, amani, usalama na utulivu, mshindi atapatikana kwa haki, atatangazwa, ataapishwa na kuunda serikali nyingine ya Zanzibar yenye jina la SUK lakini wawakilishi wa CUF kuendelea kuitawala Zanzibar kwa uhuru na amani kabisa bila`wasiwasi wowote kwa ile falsafa ya kule ya Mapinduzi Daima!.
Demokasia ya kweli ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa manufaa ya watu hao!, (of the people, by the people, and for the people), ila demokasia hiyo haikuwe kiwango cha asilimia ya watu hao!, hivyo hata kama nchi ina watu milioni moja, serikali ikachaguliwa na watu 10 tuu, bado serikali hiyo itakuwa ni serikali halali kisheria, japo itakosa peoples legitimacy, kwa watu hao ndio watakuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kwa kutokupiga kura!.
Kushiriki uchaguzi wowote, kwa kugombea nafasi yoyote ni hiyari, pia kuamua kutokushiriki katika uchaguzi pia ni hiyari, sambamba na kujiandikisha kupiga kura ni hiyari, kutokujiandikisha pia ni hiyari, na kujiandikisha kupiga kura na kisha kuamua kutokupiga kura pia ni hiyari, zote hizo ni demokrasia.Kama CUF itawashawishi wafuasi wake kususia uchaguzi huo, hiyo itakuwa ndio demokrasia yao!.
Kitendo cha CUF kushiriki uchaguzi wa mwanzo kunaifanya CUF ni lazima ishiriki uchaguzi wa marudio sio kwa hiyari ua kwa kupenda, bali ipende, isipende, ni lazima ishiriki uchaguzi huo!.
Hapa hakuna suala la choice. Na iwapo CUF watasusa kushiriki uchaguzi huo wa marudio, kususa huko kutakuwa ni kususa batili kwa sabu picha na majina ya wagombea wa CUF yataendelea kuwepo kwenye karatasi za kura!, hivyo kususa huko ndiko kutakao ipatia CCM ushindi wa mezani, tena this time CCM itashinda viti vyote vya uwakilishi Unguja na Pemba, na huu ndio utakuwa mwisho rasmi wa CUF. Kamwe CUF isikubali kuingia katika mtego wa kususia uchaguzi wa marudio!.
Turufu ya CUF kutishia kususa ni kwa kisingizio cha itabembelezwa ili kusitokea machafuko Zanzibar!. Kiukweli JK alikuwa ni mpole sana, hivyo Zanzibar imemchezea sana hadi kumtia vidole machoni katika yale mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010.
Kwa sasa Amiri Jeshi Mkuu ni Dr. John Pombe Magufuli, hii ni namba nyingine, huyu sio mtu wa mchezo mchezo au kuchezewa kama JK, hivyo CUF kama wanadhani watasusa na kubembelezwa, ili kuepusha machafuko Zanzibar, nawahakikishia this time watakuwa wame bugi step, hata wakisusa, hakutakuwa na vujo wala ,achafuko yoyote Zanzibar kwa sababu sasa ni zamu ya hapa hapa ni kazi tuu!.
Wanzanzibar, na Watanzania wote, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya JMT, tuna jukumu kubwa la kuilinda amani na utulivu wa eneo lote la JMT, ikiwemo Zanzibar, kwa gharama yoyote!, hii ikiwa ni pamoja na kuulinda muungano kwa gharama yoyote!.
Wasalaam
Pasco
Nchi ya CCM hii milele.Yeah! Kampeni nimkupoteza fedha na kuwapandisha mori wananchi. Vita ingezuka wakati wa kampeni
Liwassa anakusalimiaUsiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
Pasco,inamaana CUF wakiamua kushiriki na wakashinda tena je Uchaguzi utarudiwa???Maana CCM haijawahi kushinda huko ni kulazimisha kushinda.CCM ikishindwa tena kwa kishindo Uchaguzi utarudiwa tena???
Macho yote ya dunia yatakuwa kwenye uchaguzi wa Zanzibar, hivyo CUF ikishinda tena this time itatangazwa!.Pasco CCM haijawahi kushinda Z'bar, je wakishindwa tena Uchaguzi utarudiwa??? Je,Leo Maiga akienda Burundi ati kusuluhisha ugomvi wa Uchaguzi ataambiwaje???Je,Magufuli na Chama chake wanasifa ya kwenda kutatua migogoro kwenye nchi nyingine???
Mwenye akili timamu hatakubaliana na marudio ya Uchaguzi sababu Tanzania haina sifa ya kukemea migogoro ya uchaguzi.Mahiga hana haki wala sifa ya kwenda Burundi na kumshauri Nkuruzinza na Chama chake.
Poleni wanaccm kukubali kushindwa ni heshima.Safari hii kubalini mmeshindwa kwa kishindo
Mkuu GHIBUU, tangu lini rais wa Zanzibar ni rais nje ya Zanzibar?!. Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania bara na Tanzania visiwani, au Tanzania Zanzibar. Ndani ya Muungano, sehemu ya Zanzibar inajitegemea kwa utawala wake wa ndani, lakini nje ya Muungano, hakuna nchi ya Zanzibar, bali kuna sehemu ya Zanzibar ambayo ni sehemu ya JMT!.Huu uchaguzi hata urudiwe mara mia kama haujakubalika kimataifa basi huyo rais Shein atakuwa rais ndani ya Tanzania.
Akija ulaya na America ni raia w kawaida kwa sababu hawamtambui na hawatamtambua, mataifa yashaweka wazi matokeo yatangazwe, vipi leo murudie uchaguzi?
Suala la uchaguzi ni suala la kimataifa na sio kitaifa.
Mm huwa nawatahadharisha sana watanganyika,moto wanao uchochea ukija kuwaka wasidhani watanganyika watabaki salama zanzibar.Kufanya maamuzi kwa ubabe, tena kuonesha kiburi ukidhani tu kwa kuwa askari wapo sio jambo la kushabikia karne hii, hawa jamaa wa zanzibar me huwa nawagopa sana walianza kupiga watu risasi, na kuwamwagia acid, nyie endeeleni kushabikia huo ujinga iko cku mtasikia meli au pantoni imelipuka kuna mtu amejitoa muhanga ndo mtawajua hawa jamaa vizuri, mnawatia watu gadhabu wakati hamko makin, haya sio mashindano kwamba mnawakomoa,tatizo sis watanzania hatuna akili kabisa.
Naona unajikanyaga tu,adui wa wazanzibar kwenye harakati hizi za kujikomboa kwenye makucha haya ya mkoloni anajulikana,wazanzibar wapo tayari kupambana nao liwalo na liwe.Macho yote ya dunia yatakuwa kwenye uchaguzi wa Zanzibar, hivyo CUF ikishinda tena this time itatangazwa!.
Kuna hoja kuwa siku zote CUF huwa inashinda uchaguzi wa Zanzibar lakini haitangazwi!, kama hili ni kweli, then lazima kuna sababu kwa nini CUF washinde na wasitangazwe!. Sasa bila kuzijua hizo sababu, watu humu watabaki wanapga tuu kelele!. Watu wangezijua hizo sababu, kisha wajiulize kama siku zote CUF anashinda lakini hatangazwi kwa sababu abc, sasa ili this time shinde na kutangazwa, then hizo sababu nazo ziwe zimebadilika!.
Niliwauliza wenyewe CUF mara kibao, kama ni kweli siku zote huwa wanashinda lakini hawatangazwi, kitu kipi kimewafanya waamini this time wakishinda watatangazwa?!, hakuna mwenye jibu!.
Kiukweli siku zote uchaguzi wa Zanzibar ni twists and tuns, sometimes margin ya mshindi na mshindwa ni just 2% hivyo whoever knows the best game akifanikiwa ku twist, yeye ndio mshindi, ndio maana nimewauliza CUF, kama walishinda kihalali kwa kua nyingi, nini kinachowafanya waogope kurudiwa kwa uchaguzi, si ni watashinda tena?!, hawana jibu!.
Pasco
Rais JMT kutoingilia hadi sasa kufutwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar ni kielezo cha kuheshimu Katiba na utawala wa sheria.Haya yote yanasababishwa na koloni la kupangwa,Tanganyika kujifunika blanket la Tanzania tena mchana wa jua kali tena bila kuona hata joto,matatizo ya Znz yatamalizwa na wa znz wenyewe.
Tetty: toa ushahidi kwa takwimu. La, acha hisia zako, porojo za siasa maji taka na maneno ya uchochezi.Pasco,inamaana CUF wakiamua kushiriki na wakashinda tena je Uchaguzi utarudiwa???Maana CCM haijawahi kushinda huko ni kulazimisha kushinda.CCM ikishindwa tena kwa kishindo Uchaguzi utarudiwa tena???
ikipendaroho
CUF wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa marudio ndipo waende mahakamani itakuwa too late kwa sababu uchagfuzi wa rais haupingwi mahakamani!.
Kama ni kwenda mahakamani walipaswa kuupinga uamuzi ule wa Jecha, ila pia mahakama imeweka sheria ya limitation kwenye mambo yote ya uchaguzi, ni kufungua shauri ndani ya siku 90!. Zimeishapita. Hata hivyo sasa bado wanayonafasi ya kuupinga huu uchaguzi but on what ground?!.
Pasco
Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote
exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?
Wanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. CUF hakina option yoyote ya kuamua ama ishiriki ama isishiriki uchaguzi huo, kwa sababu ushiriki wa uchaguzi wa marudio sio suala la option bali ni jambo la lazima, watake wasitake ni lazima washiriki, kwa sababu kila kitu kiko vile vile kama mwanzo!, nikimaanisha hata wakisusa, picha na majina ya wagombea wao yatakuwepo kwenye karatasi za kura!.