ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ingekuwa vizuri nawe ungeacha kuwasemea hivyohivyoUsiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa vizuri nawe ungeacha kuwasemea hivyohivyoUsiwasemee Wazanzibari. Wapo tayari kwa uchaguzi na kuichagua kwa nguvu CCM
cuf kutoka znz nao watakufa naPasco Leo kasema yote!hajamung'unya maneno!huo aliosema ndio kweli yenyewe!hakuna mzaha wala kubembelezana!
Hivi pasco unajua znz kuna wabunge wa cut?Wakuu Erythrocyte, na Mmawia, hili la uganga njaa ni kweli, kwa sababu baada ya kufukuzwa kazi TBC ile 2002, tangu wakati ule mpaka leo, ni miaka 14 sijabahatika tena kupata kazi popote, hivyo mpaka sasa ninapoandika hapa, mimi ni jobless sina ajira na maisha yangu ni ya kubahatisha bahatisha tuu kwa kuganga njaa!.
Hata hapa nilivyopandisha uzi huu, ni njaa tuu, nimelipwa zile buku 7 za Lumumba ili angalau mkono uende kinywani na siku yangu ipite!. Mkisikia kuna mahali popote wanahitaji waandishi wa habari, mnistue, hata kama ni gazeti la Kiu au Ijumaa nijulisheni tuu!.
Hakuna mtu yoyote aliyesema anataka kuifuta CUF, nilichosema ni iwapo CUF watasusia uchaguzi huu wa marudio, wakombea wa CUF wataendelea kuwemo kwenye kaatasi za uchaguzi, siku ya uchaguzi ni wana CCM tuu ndio watajitokeza kuichagua CCM ambapo itavitwaa viti vyote vya Zanzibar na Pemba, hivyo sio kuwa CUF itafutwa bali itajifia yenyewe natural death!.
Hizi kauli za matishio ya amani, hakutakalika, kumwagika kwa damu etc, vikosi vya Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, yako imara kulisimamia hili!.
Pasco
Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote
exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?
cuf kutoka znz nao watakufa naPasco Leo kasema yote!hajamung'unya maneno!huo aliosema ndio kweli yenyewe!hakuna mzaha wala kubembelezana!
pasco wabunge wa cuf znz watashindwa kukiokoa chama kisife?Wakuu Erythrocyte, na Mmawia, hili la uganga njaa ni kweli, kwa sababu baada ya kufukuzwa kazi TBC ile 2002, tangu wakati ule mpaka leo, ni miaka 14 sijabahatika tena kupata kazi popote, hivyo mpaka sasa ninapoandika hapa, mimi ni jobless sina ajira na maisha yangu ni ya kubahatisha bahatisha tuu kwa kuganga njaa!.
Hata hapa nilivyopandisha uzi huu, ni njaa tuu, nimelipwa zile buku 7 za Lumumba ili angalau mkono uende kinywani na siku yangu ipite!. Mkisikia kuna mahali popote wanahitaji waandishi wa habari, mnistue, hata kama ni gazeti la Kiu au Ijumaa nijulisheni tuu!.
Hakuna mtu yoyote aliyesema anataka kuifuta CUF, nilichosema ni iwapo CUF watasusia uchaguzi huu wa marudio, wakombea wa CUF wataendelea kuwemo kwenye kaatasi za uchaguzi, siku ya uchaguzi ni wana CCM tuu ndio watajitokeza kuichagua CCM ambapo itavitwaa viti vyote vya Zanzibar na Pemba, hivyo sio kuwa CUF itafutwa bali itajifia yenyewe natural death!.
Hizi kauli za matishio ya amani, hakutakalika, kumwagika kwa damu etc, vikosi vya Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, yako imara kulisimamia hili!.
Pasco
Mkuu The Boss, huu muungano unalindwa kwa gharama yoyote, kwa sababu una sababu!, kinachofanya nchi yetu kuitwa Tanzania ni huu muungano wetu!, tunaigharimia Zanzibar kwa gharama kubwa kwa ajili tuu ya huu muungano!, hivyo unalindwa kwa nguvu kwa sababu!, nikikuambia kuna uwezekano hata Abedi, ilimbidi aondoshwe ili kuulinda huu muungano!, Jumbe mpaka leo yuko kizuizini ili kuulinda huu muungano!, chama au mtu yoyote atakayeonekana ni threat kwa majaaliwa au mustakabali wa muungano huu, kamwe hawezi kupewa nchi!, mnaweza kukuta hata Jecha ni mtekelezaji tuu wa maelekezo!.Kila siku najiuliza hili swali
watu wanaosema 'tutaulinda muungano wetu' kwa gharama yoyote
exactly wanamaanisha nini?
why huu muungano ulindwe kwa nguvu?
Nakumbushia tu kuwa mfalme hajavaa nguo. Mfalme anatembea mbele ya umma bila ya kuvaa nguo.Wanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. ...
Pasco
Mkuu iL Buono, huu ndio mjadala wa bandiko hili, jee CUF watasusia uchaguzi wa marudio na kufa natural death, au wataingia tena kwenye uchaguzi na kwenda kupokea kichapo?!. Tusubirie matokeo ya hivyo vikao vyao!.Mkuu pasco... heshima kwako... hua napenda sana kusoma analysis zako mkuu... sema hua napenda unipembulie zaidi bro... nipate kufaham na kuongeza ujuzi.. swali moja la kizushi... katika kikao cha cuf kinacho tarajia kukaa juma linalo kuja... je wakiamua kuwaambia wafuasi wao wasusie uchaguzi na kukubali matokeo yote baada ya hapo kwa amani na utulivu( jambo ambalo mie siliungi mkono).. na cuf ife tu natural death kwa upande wa znz.. wasishiriki tena siasa...na waendelee na maisha yao ya kawaida... hio imekaaje kaka? Itakua na impact yeyote?
Mkuu Pasco wa jf ni yule yule juzi jana na leo!.Afadhali wewe umeliona hilo eti chama kisiposhiriki uchaguzi kinakufa, Pasco ni wewe au kuna mtu kakusaidia kuandika leo?
Mkuu Pasco tambua siasa za Zanzibar tofauti na bara pia cuf kwa pemba ni Zaidi ya siasa
Wakuu Erythrocyte, na Mmawia, hili la uganga njaa ni kweli, kwa sababu baada ya kufukuzwa kazi TBC ile 2002, tangu wakati ule mpaka leo, ni miaka 14 sijabahatika tena kupata kazi popote, hivyo mpaka sasa ninapoandika hapa, mimi ni jobless sina ajira na maisha yangu ni ya kubahatisha bahatisha tuu kwa kuganga njaa!.
Hata hapa nilivyopandisha uzi huu, ni njaa tuu, nimelipwa zile buku 7 za Lumumba ili angalau mkono uende kinywani na siku yangu ipite!. Mkisikia kuna mahali popote wanahitaji waandishi wa habari, mnistue, hata kama ni gazeti la Kiu au Ijumaa nijulisheni tuu!.
Hakuna mtu yoyote aliyesema anataka kuifuta CUF, nilichosema ni iwapo CUF watasusia uchaguzi huu wa marudio, wakombea wa CUF wataendelea kuwemo kwenye kaatasi za uchaguzi, siku ya uchaguzi ni wana CCM tuu ndio watajitokeza kuichagua CCM ambapo itavitwaa viti vyote vya Zanzibar na Pemba, hivyo sio kuwa CUF itafutwa bali itajifia yenyewe natural death!.
Hizi kauli za matishio ya amani, hakutakalika, kumwagika kwa damu etc, vikosi vya Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, yako imara kulisimamia hili!.
Pasco
Kwa sasa Amiri Jeshi Mkuu ni Dr. John Pombe Magufuli, hii ni namba nyingine, huyu sio mtu wa mchezo mchezo au kuchezewa kama JK, hivyo CUF kama wanadhani watasusa na kubembelezwa, ili kuepusha machafuko Zanzibar, nawahakikishia this time watakuwa wame bugi step, hata wakisusa, hakutakuwa na vujo wala ,achafuko yoyote Zanzibar kwa sababu sasa ni zamu ya hapa hapa ni kazi tuu!.
Huyo Pasco anaifikiria Tanzania kama kisiwa; hakuna taifa linaloweza kukiuka misingi ya kidemokrasia na kuendelea kubakia salama katika ulimwengu wa sasa. Yalimshinda Bagbo na wengineo naye Nkuruznz anakiona cha moto; huku ni kukaribisha majanga kwa mustakabali wa taifa nzimaNjaa ni kitu hatari sana ! yaani pasco unajidhalilisha kwa kiwango hiki ! kwa bei gani uliyolipwa ? huwezi kufuta cuf kwa kusimika wabunge wa uongo pemba , yalitokea haya siku za nyuma .
Mkuu hili kila mtu anayefuatilia mambo ya siasa za Zanzibar analijua, kuwa kule Pemba CUF ni zaidi ya chama cha siasa, na vingozi wa CUF ni zaidi ya viongozi wa siasa, naamini hata wale vijana wa Amiri Jeshi Mkuu, hili wanalitambua, na zile kauli kama "jino kwa jino", na haya ni baadhi ya majina ya Maskani Zao, 'Osama Camp', 'Al Zawahir', ' Tora Borra', 'Liwalo na Liwe' Maskani Msichoke!'Mkuu Pasco tambua siasa za Zanzibar tofauti na bara pia cuf kwa pemba ni Zaidi ya siasa
Alaa umekubali kuwa hata Jecha ni mtekelezaji wa maelezo ya kufuta uchaguzi!Mkuu The Boss, huu muungano unalindwa kwa gharama yoyote, kwa sababu una sababu!, kinachofanya nchi yetu kuitwa Tanzania ni huu muungano wetu!, tunaigharimia Zanzibar kwa gharama kubwa kwa ajili tuu ya huu muungano!, hivyo unalindwa kwa nguvu kwa sababu!, nikikuambia kuna uwezekano hata Abedi, ilimbidi aondoshwe ili kuulinda huu muungano!, Jumbe mpaka leo yuko kizuizini ili kuulinda huu muungano!, chama au mtu yoyote atakayeonekana ni threat kwa majaaliwa au mustakabali wa muungano huu, kamwe hawezi kupewa nchi!, mnaweza kukuta hata Jecha ni mtekelezaji tuu wa maelekezo!.
Kama una nafasi pitia nyuzi hizi
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano ?!...
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano?!.
Jee Wajua Kuwa Kuna Uwezekano Tanzania Sii Nchi Halali Kisheria?!.
Bunge Maalum Lapigwa Changa la Macho!? Lapewa"Act of Union" badala ya "Articles of Union!".
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa Zanzibar!.
Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu!.
'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'-Karume
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then Twende Kwenye Nchi Moja Serikali Moja!.
Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili Ndio Utavunja Muungano!.
Pasco
Mkuu GHIBUU, sijasema Jecha ni mtekelezaji nimesema usikute ni mtekelezaji tuu!, kuhusu hili la sababu ya kufutwa kwa uchaguzi halina mjadala ni kweli CCM ilishindwa.Alaa umekubali kuwa hata Jecha ni mtekelezaji wa maelezo ya kufuta uchaguzi!
Mkuu Pasco
Tuwe wawazi tuache ushabiki, kufutwa kwa matokeo ni kwa sababu ccm imeshindwa uchaguzi, hakuna sababu nyengine.
Suala la muungano huwezi kulilinda milele na huwezi kulilinda kwa bunduki, ipo siku hata watanganyika nao watadai tanganyika kwa nguvu za Umma wakati ukifika kama wazanzibari wanavyo dai zanzibar yenye mamlaka kamili.
Sio kweli kwamba zanzibar inahudumiwa na serikali ya muungano kwa kodi za watanganyika, MCC isinge zuiya zile fedha kwa sababu wanajua kuwa kuna mgao wa Zanzibar humo humo, kwa maana suala la zanzibar ni kubwa tofauti unavyo fikiri. Na pesa ambayo serikali ya Tanzania inaipa zanzibar ni moja ya mchango ilitoa 11 percent katika bank Kuu.
Zanzibar inapewa 4.5 tu kwa mwaka, hata hivyo fedha hizo zanzibar hupata less than that na nyingine kuishia katika matumbo ya viongozi wako.
Wazanzibari wanautaka muungano lakini wa haki kwa kila upande, na mfano wa Zanzibar ilikuwa ikipenda ushirikiano na nchi jirani ni Eac, zanzibar ilikuwa ni member wa East Africa community.
Ccm nyie mushazoea siasa za maji taka, ubaguzi wa rangi na dini, na haya ni kwa sababu viongozi wenu walianza kupalilia na kuyalinda na kuwasomesha watoto wetu huu ubaguzi, kaanza Nyerere, mizengo pinda, lukuki, na sasa Shein nae anayapokea kwa maandamo mabango ya ubaguzi.
PascoMkuu GHIBUU, sijasema Jecha ni mtekelezaji nimesema usikute ni mtekelezaji tuu!, kuhusu hili la sababu ya kufutwa kwa uchaguzi halina mjadala ni kweli CCM ilishindwa.
Nakubaliana na wewe kuhusu kuboresha muungano ili uwe muungano wa haki.
Kwa ajili ya ushaui huu sasa mimi ndio nimekuwa CCM?!.
Pasco wa jf, ni yule yule, juzi, jana na leo, sio mwanachama, mshabiki, mfuasi au mkereketwa wa chama chochote cha siasa, ni mfuasi wa ukweli halisi jinsi ulivyo!.
Pasco
Hivi Ww Mtu Una Shida Gani!!!?? NANI Anakuambia WANACUF Ndio Wenye UDINI Na WanaCCM Ni Mapagani!!!!?? Hivi Wkt Zanzibar Walipokuja Na Hoja Ya KUJIUNGA Na OIC, Ww Ulikuwa Na Umri Gani?? Maana Kama Ungekuwa Na "AKILI "Kwa Kipindi Hicho, Sidhani Kama Ungesema Eti CUF Ndio Wataleta KUJIUNGA Na Mashirika Ya Kidini, Wkt Hilo Suala Lilipelekwa Bungeni Na WanaCCM Wenyewe, WAULIZENI Wakubwa Zenu!!! PIA Suala La Muungano Ni Wa MAKUBALIANO Kati Ya NCHI 2 Zenye MAMLAKA Kamili!!! ILA Kwa Kubembeleza Kwao Kuingia Ktk Muungano, Walikubali Kuifuta Tanganyika Yao!!pasco
kimsingi upo sahihi, ila kunajambo moja ambalo naliona tatzo la zanziba si uchaguzi, wala cuf o ccm, ila kuna mambo ya utamadun na utawala, ndiyo maana viongozi wakuu wanasema watailinda na kuitetea katiba ya jmt,
sasa hoja ni kuwa kama cuf watatawala 99%muungano utavunjika, maana kuna elemit ya udin humo ndan kujiunga na mashirika ya kidin,
pili ki ulinzi tz haitakuwa salama, na zaidi kunauwezekano unguja na pemba zikameguka kila moja ikadai mamlaka kamili,
kwa hyo kinachofanyika ni kuulinda muungano kwa nguvu hata kama wananchi hawaupendi ili changamoto hzo ziendelee kutatuliwa taratibu,
nionavyo kwa sasa changamoto zilizopo ni rahisi zaidi kuliko ambazo zinaweza kuwepo baada ya zanzibar kuwa ktk utawala mwingine,
huo ndio ukweli kwa hyo wamependa kwenda kwenye uchaguzi au hawajapenda, mwisho wa siku rais ataamliwa na watawala, wananchi wanakwenda kupoga kula as simplicial,
duniani hakujawahi kuwa na haki kwa 100% huo ndo ukweli na cuf wanataka haki kwa 100%jambo ambalo litabaki kuwa ndoto tu..
maneno ya kujitapa yanini hata gadafi alikuwa na maneno kama haya alijishutikia anatokwa na haja ndogo bila kupendaWanabodi, baada ya kutangazwa tarehe ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, kuna watu wanadhani Chama cha Wananchi CUF, kina hiyari ya kushiriki uchaguzi huo au kutoshiriki, as if kushiriki uchaguzi wa marudio ni jambo la hiyari!, no way!, watakuwa wanajidanya!. CUF hakina option yoyote ya kuamua ama ishiriki ama isishiriki uchaguzi huo, kwa sababu ushiriki wa uchaguzi wa marudio sio suala la option bali ni jambo la lazima, watake wasitake ni lazima washiriki, kwa sababu kila kitu kiko vile vile kama mwanzo!, nikimaanisha hata wakisusa, picha na majina ya wagombea wao yatakuwepo kwenye karatasi za kura!.
Wenye option ya kuamua kushiriki au kutoshiriki uchaguzi huo ni wapiga kura, ndio wanaweza kuamua ama kujitokeza kushiriki kupiga kura, au kususa kupiga kura kwa kutokujitokeza, na mgombea hata kama atapata kura moja ya ndio, ndio atatangazwa mshindi!, hivyo kupiga kura au kutopiga kura ndio bado ni option!, lakini kushiriki uchaguzi huo sio option ni jambo la lazima!.
Iwapo CUF itatangaza kususia uchaguzi huo, tangazo hilo ndilo litakuwa tangazo rasmi la kifo rasmi cha kilichokuwa kinaitwa Chama cha Wananchi CUF, kwa sababu, ngome kuu ya CUF ni Pemba, kususia uchaguzi ni kuipoteza Pemba ambapo na ngome kuu ikiishakuangua, it is just a matter of time, chama chenyewe chote kielekee kaburini!.
Hata kama CUF watatangaza kususa, majina ya wagombea wa CUF tayari yako kwenye karatasi za kura katika uchaguzi huo, hivyo wakitangaza kususa, maana ni wagombea wa CUF hawatachaguliwa, hivyo kuipatia CCM ushindi wa mezani, ikiwemo kuitwaa ngome ya CUF kule Pemba na kuivunja uti wake wa mgongo, kwa CCM kuvitwaa viti vyote vya Uwakilishi Zanzibar na Pemba, ambapo pia huo ndio utakuwa mwisho wa SUK na CCM kutawala peke yake na kuhitimishwa kwa kifo rasmi cha chama cha wananachi, CUF!.
Nakiri kupandisha uzi huu kufuatia bandiko la mwana jf huyu
Hoja katika badhiko hilo mi kitisho cha CUF kuwa kisiposhiriki, hali ya amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar, utakuwa mashakani!. Maadam Zanzibarr sio nchi bali ni sehemu ya JMT, dhima ya muungano, ni undungu wa asili kati ya watu wa Tanganyika na watu wa Zanzibar, lakini sababu halisi ya muungano ni kuipatia Zanzibar ulinzi na usalama, Zanzibar haina polisi wala jeshi, hivyo jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Zanzibar tuu, bali ni jukumu la JMT, haiwezekani sehemu moja ya JMT iwe katika hali tete, wakati JMT ni nchi moja, ulinzi na usalama wa JMT utakuwa mikononi mwa JMT!.
Hivyo CUF washiriki uchaguzi huu wa marudio, au wasishiriki kwa kuususia, it will not make any difference kwenye amani na utulivu wa Zanzibar kwa sababu jukumu la ulinzi na usalama wa Zanzibar, sio jukumu la Wanzanzibari wenyewe pekee, bali pia ni jukumu la serikali ya JMT, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, Dr. Joh Pombe Magufuli!.
Zanzibar kama sehemu ya JMT, inayo assuarance ya Amri Jeshi Mkuu wa JMT, kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, uliotangazwa, utafanyika kwa uhuru, amani, usalama na utulivu, mshindi atapatikana kwa haki, atatangazwa, ataapishwa na kuunda serikali nyingine ya Zanzibar yenye jina la SUK lakini wawakilishi wa CUF kuendelea kuitawala Zanzibar kwa uhuru na amani kabisa bila`wasiwasi wowote kwa ile falsafa ya kule ya Mapinduzi Daima!.
Demokasia ya kweli ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa manufaa ya watu hao!, (of the people, by the people, and for the people), ila demokasia hiyo haikuwe kiwango cha asilimia ya watu hao!, hivyo hata kama nchi ina watu milioni moja, serikali ikachaguliwa na watu 10 tuu, bado serikali hiyo itakuwa ni serikali halali kisheria, japo itakosa peoples legitimacy, kwa watu hao ndio watakuwa wametumia haki yao ya kidemokrasia kwa kutokupiga kura!.
Kushiriki uchaguzi wowote, kwa kugombea nafasi yoyote ni hiyari, pia kuamua kutokushiriki katika uchaguzi pia ni hiyari, sambamba na kujiandikisha kupiga kura ni hiyari, kutokujiandikisha pia ni hiyari, na kujiandikisha kupiga kura na kisha kuamua kutokupiga kura pia ni hiyari, zote hizo ni demokrasia.Kama CUF itawashawishi wafuasi wake kususia uchaguzi huo, hiyo itakuwa ndio demokrasia yao!.
Kitendo cha CUF kushiriki uchaguzi wa mwanzo kunaifanya CUF ni lazima ishiriki uchaguzi wa marudio sio kwa hiyari ua kwa kupenda, bali ipende, isipende, ni lazima ishiriki uchaguzi huo!.
Hapa hakuna suala la choice. Na iwapo CUF watasusa kushiriki uchaguzi huo wa marudio, kususa huko kutakuwa ni kususa batili kwa sabu picha na majina ya wagombea wa CUF yataendelea kuwepo kwenye karatasi za kura!, hivyo kususa huko ndiko kutakao ipatia CCM ushindi wa mezani, tena this time CCM itashinda viti vyote vya uwakilishi Unguja na Pemba, na huu ndio utakuwa mwisho rasmi wa CUF. Kamwe CUF isikubali kuingia katika mtego wa kususia uchaguzi wa marudio!.
Turufu ya CUF kutishia kususa ni kwa kisingizio cha itabembelezwa ili kusitokea machafuko Zanzibar!. Kiukweli JK alikuwa ni mpole sana, hivyo Zanzibar imemchezea sana hadi kumtia vidole machoni katika yale mabadiliko batili ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010.
Kwa sasa Amiri Jeshi Mkuu ni Dr. John Pombe Magufuli, hii ni namba nyingine, huyu sio mtu wa mchezo mchezo au kuchezewa kama JK, hivyo CUF kama wanadhani watasusa na kubembelezwa, ili kuepusha machafuko Zanzibar, nawahakikishia this time watakuwa wame bugi step, hata wakisusa, hakutakuwa na vujo wala ,achafuko yoyote Zanzibar kwa sababu sasa ni zamu ya hapa hapa ni kazi tuu!.
Wanzanzibar, na Watanzania wote, chini ya Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya JMT, tuna jukumu kubwa la kuilinda amani na utulivu wa eneo lote la JMT, ikiwemo Zanzibar, kwa gharama yoyote!, hii ikiwa ni pamoja na kuulinda muungano kwa gharama yoyote!.
Wasalaam
Pasco