Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

Watu wa kigoma hawapo cuf?? Mpigeni kishipa cha mdomo na mguuni ashindwe kuongea na kutembea au mumpige cha kichwa ashindwe kujitambua hapo itakua mission accomplished..otherise bado mtalialia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mpango wenu wa kumvuruga Akili Seif ilikua kuua CUF ili ahamie Chadema mpate nafasi ya kuingia Zanzibar?
CCM inalaumiwaje sasa kwa hiki mnachokifanya?

Mwambieni Seif aache Usultani arudi Buguruni apangiwe Kazi na Professor.

Yeye kaumiza wengi ktk safari yake ya kutafuta Urais Zanzibar.
Wengi hawana Furaha naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel unauma sana! Lakn hamna namna seif ahamie chadema mapema kabla hajakumbana na aibu ya mwaka, lipumba mzik mkubwa
 
Acha hizo ndugu. Una lako jambo, acha.
 
Well said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…